Aptitude test ya Alistair group

Hizi post za lini ndugu hizi ndugu yangu me nimeomba mwezi WA 12
Nauliza Kama interview uliitwa lini maana hiyo nafasi nimeomba mpaka juzi kwenye page yao bado lipo post
Niliomba business development but nna back ground ya finance so wakanipanga junior accountant japokua mwishoni walimchukua dogo mmoja graduate.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna washkaji tulikua tunatafuta kazi na wao hawakujua hata kama kuna kampuni inaitwa alistair. Nikawajulisha ishu ilivyo na test yangu ailikuaje.
Daa wakaniambia ngoja tuandae kamati wakawa wanafanya mtihani mmoja watu wanne. Maswali mengine wana google aisee walipita mtihani ule kama wamesimama
Kikubwa mkuu usitegemee google ya kichwa chako ingia na google yenywe
 
Mozambique post mkuu

Hizo ni zile post zimetoka mwaka Jana Mwishoni au

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilisha fanya ya dragnet nikapass test yao na kupita next stage ... nyinyi iko chini ya nani?

Inabidi ujue tricks za kusolve maswali yao.. nilikutana na category 4. Muda ndio mchawi wa hizi test hahaha unaweza kata tamaa kabisa jinsi maswali yanavyokuwa..
Screenshot_2020-01-17-11-07-16.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom