peacy
Senior Member
- Feb 8, 2015
- 120
- 86
Inatakiwa uwe na uwezo wa kufikiri haraka, alafu uwe na sehemu ambayo internet iko fasta, ikiwezekana tafuta mwingine awe karibu, nimefanya mwaka Jana ya Alistair
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app