Mbona wengi wanasema hawajaona hizo msg? Au wameita kwa awamu? Wengine watajulishwa baadae?Hiyo Interview ilishafanyika, tulitumiwa email and sms kuwa notified kwa ajili ya interview.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Utafikiwa lini watu wapo makazini tayariMbona wengi wanasema hawajaona hizo msg? Au wameita kwa awamu? Wengine watajulishwa baadae?
Mi binafsi nilikuwa ni wale watu tuliofanya jioni ile na wale nilioingia nao wanasema hawajapata msg yoyote, labda itakuwa wameanza na kundi lililoingia ile asbh.
Wacha tuendelee kusubiria labda nasie tutafikiwa
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Do not waste your time waiting imeshaisha iyo the strong survive and the weak disappearMbona wengi wanasema hawajaona hizo msg? Au wameita kwa awamu? Wengine watajulishwa baadae?
Mi binafsi nilikuwa ni wale watu tuliofanya jioni ile na wale nilioingia nao wanasema hawajapata msg yoyote, labda itakuwa wameanza na kundi lililoingia ile asbh.
Wacha tuendelee kusubiria labda nasie tutafikiwa
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Hatimaye saivi wamenikumbuka kwa feedback nimekuwa na amani sasa, hongereni wote mliofanikiwa kwa hatua ya piliDo not waste your time waiting imeshaisha iyo the strong survive and the weak disappear
Relax subiri tu mtatumiwa au inaweza ikawa ndo meshapita maana nahisi watakuwa teyari wameshamaliza kumark kwa hyo asaivi wanatoa majibu taratibu itawafikia kuwa na subira
Watu washakula na salary ndiyo unauliza leoWakuu hawa jamaa wanania gani yaan wanafanya watu wajihis kua walienda kupoteza muda pale na lile jua sasa alaf mtu huambiwi umepataje...
Kwanza yale maswali sio yakufanya kwa 1hrs hata kama ni genius kiasi gani utafikiri wao walifanyaga hivi
Yaani tunachoshana tu kisa ajira [emoji119][emoji119]
Wanaanza kazi mwezi huu WA 6.Watu washakula na salary ndiyo unauliza leo
Mkuu aptitude test ndo zilivo zinapima uelewa na uvumilivu wako na Mara utakuta ziko out of your area of specialization ziko general sanaWatu washakula na salary ndiyo unauliza leo