Aptitude test TCB

Hivi hii test ni saa ngapi?? Maana wanachanganya kwenye Text wanasema 8.00 am na ukisoma email ni saa 10:00 am ??
 
KHivi hii test ni saa ngapi?? Maana wanachanganya kwenye Text wanasema 8.00 am na ukisoma email ni saa 10:00 am
Oooh Kumbe uhakika ni saa 10:00 am
kuna wengine ni 8:00 kwenye email Kwahyo inategemea kwenye email umeandikiwa saa ngap kuna saa 8:00 na saa 10:00
 
Msaada hata zile gynatics question wazee! Hapa cna nnalojua kwenye izoo test zaoo...
 
Hello, guys wale wa BOO interview ni saa 0800 na sio saa 1000
 
Connection tupeane ndugu...
Ungekuwepo pale ungefaulu mtihani wote, watu wametoka wakawa wanatoa majibu ya maswali.

Jamaa hawawezi kufanya ishu ya interview. Too many unnecessary procedures. Watu wamekalishwa juani masaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…