Aprili 25: Maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani na jitihada za kuitokomeza

JamiiForums

JF Official Account
Nov 9, 2006
6,202
5,012
Ugonjwa wa Malaria unaendelea kuathiri vibaya Afya na maisha ya watu duniani kote licha ya kuwa unazuilika na kutibika. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Mtoto mmoja hufariki dunia kwa Malaria kila dakika mbili

Inakadiriwa kulikuwa na Visa vipya Milioni 241 vya Malaria na Vifo 627,000 vinavyohusishwa na Ugonjwa huo katika Nchi 85 Mwaka 2020. Zaidi ya theluthi mbili ya vifo vyote vilikuwa miongoni mwa Watoto chini ya Miaka Mitano walio Kanda ya WHO Barani Afrika

Hata hivyo, Wataalamu wanasema matumaini ya kutokomeza Malaria yapo juu zaidi baada ya Chanjo ya kwanza dhidi ya Ugonjwa huo kuidhinishwa. Zaidi ya Watoto Milioni 1 Afrika wamepata angalau Dozi moja ya Chanjo hiyo

Kufanya vipimo na kuthibitisha Ugonjwa mapema huchangia kupunguza maambukizi na vifo vitokanavyo na Malaria. Upimaji huwawezesha watoa Huduma za Afya kutofautisha kwa haraka kati ya Homa ya Malaria na isiyo ya Malaria, hivyo kutoa matibabu sahihi

Licha ya mapambano dhidi ya Malaria kuathiriwa na janga la COVID-19, Maendeleo makubwa yamefikiwa ikilinganishwa na hali ilivyokuwa Mwaka 2000

Shirika la Afya Duniani (WHO) linaonya kuwa Malaria bado ni changamoto kubwa kwa Afya ya Umma na Maendeleo

1650862687483.png

World Malaria Day is marked annually on 25 April to focus global attention on malaria, and its devastating impact on families, communities and societal development, especially in Sub-Saharan Africa.

This year’s theme, “Harness innovation to reduce the malaria disease burden and save lives”, aligns with my call to urgently scale up innovation and the deployment of new tools in the fight against malaria, while advocating for equitable access to malaria prevention and treatment, within the context of building health system resilience.

The past year has seen significant breakthroughs in malaria prevention and control, in spite of the COVID-19 pandemic. Landmark recommendations on the use of the first vaccine against malaria – RTS,S – were released by the World Health Organization late last year. This vaccine will be used to prevent malaria among children aged six months to five years, who live in moderate- to high-transmission settings.

While this is a groundbreaking advance in the development of new tools to fight this disease, with the potential to save millions of lives, supplies are currently limited. As such, it is important to ensure that the doses that are available are utilized for maximum impact, while ensuring continued availability of other preventive measures to those most at risk.

Malaria remains a significant public health and development challenge. In the last year, about 95% of the estimated 228 million cases occurred in the WHO/AFRO Region , along with 602 020 reported deaths. Six of our countries , the worst-impacted by malaria in the Region, are reported to have accounted for up to 55% of cases globally, and for 50% of these deaths.

Despite some slowing of progress to reduce malaria cases and deaths, and the disruptions to health services caused by COVID-19, we are still much further ahead than we were in 2000. We need to reignite that momentum, and build on the recent advances.

For example, seasonal malaria chemoprevention (SMC) campaigns were implemented as planned in 2021, ensuring protection for an additional 11.8 million children. Indoor residual spraying was also carried out, and long-lasting insecticidal nets distributed, largely as planned.

Other notable achievements include the scaled implementation of RTS,S vaccine pilots in Ghana, Kenya and Malawi, which reached up to 900 000 children.

The ultimate goal is to reduce the number of people catching and dying from malaria. This requires a focus on research and on leveraging available evidence to ensure that our targeted interventions are an efficient use of resources, which produce measurable results.

We also need to work on drug and insecticide resistance, as well as focus on new strains of malaria arising in the Region, which are more difficult to detect, and treat.

Malaria is, however, about much than medical and technological interventions. Malaria affects households and communities, and these communities need to be empowered to play an active role in the fight against this disease. As WHO in Africa, we recognize that a whole-of-society approach requires us to listen to, and learn from, those who are worst impacted.

World Malaria Day today is an occasion to renew political commitment and encourage continued investment in malaria prevention and control. I call on countries and communities affected by malaria to work closely with development partners to advance our countries along the road to elimination, while contributing to the achievement of other Sustainable Development Goals.

I personally, and the WHO Regional Office in Africa, remain fully committed to the fight against malaria. I believe we can overcome the challenge if we collaborate closely with governments, partners and communities.

Together, we can accelerate our efforts to achieve a malaria-free Africa.

Source: WHO (Africa)
 
Kwamba Mtoto mmoja hufariki dunia kwa Malaria kila dakika mbili ?

Halafu idadi ya watu inaongezeka watoto wangapi kwa kila dakika 2 ?

Acheni ujinga wachuro wakubwa nyie
 
kwamba Mtoto mmoja hufariki dunia kwa Malaria kila dakika mbili ?

halafu idadi ya watu inaongezeka watoto wangapi kwa kila dakika 2 ?

acheni ujinga wachuro wakubwa nyie
Hapa kuna tatizo la hesabu;
Mtoto mmoja kwa Kila dakika 2 Ina maana kwa mwaka ni 262,800.
Hizo 627,000 zilitoka wapi 2020?
 
Mzee wa manadharia sikosagi nadharia......

Mfano tukaamua nchi nzima / dunia nzima kunywa juisi ya malimao na asali kwa wiki moja mfululizo ! malaria kushnei!!

Au wote tumeze kwa pamoja dozi ya malaria labda.

Ila hii hapa ndio tata zaidi: Katika siku zile saba za juisi ya malimao&asali zile ziku tatu za katikati tunameza dozi mseto! hii ndo kali kuliko.......... By the way ni nadharia tu

Tukipona wote baadae mbu watabakia kuwa wasumbufu tu ila sio wasambazaji wa maralia. Sitaki mbinu za kuwaua wote maana hiyo ni cosmic sin, kwanza mi Rasi PEACE ✌😊😊
 
Mzee wa manadharia sikosagi nadharia......

Mfano tukaamua nchi nzima / dunia nzima kunywa juisi ya malimao na asali kwa wiki moja mfululizo ! malaria kushnei!!

Au wote tumeze kwa pamoja dozi ya malaria labda.

Ila hii hapa ndio tata zaidi: Katika siku zile saba za juisi ya malimao&asali zile ziku tatu za katikati tunameza dozi mseto! hii ndo kali kuliko.......... By the way ni nadharia tu

Tukipona wote baadae mbu watabakia kuwa wasumbufu tu ila sio wasambazaji wa maralia. Sitaki mbinu za kuwaua wote maana hiyo ni cosmic sin, kwanza mi Rasi PEACE ✌😊😊
Kweli wewe ni mzee wa manadharia
 
Back
Top Bottom