Sikufanyii kitu mbona πAisee usinifanyie hivo π
ππͺπ¨πβοΈNgoja nijifanye tu nimezaliwa mwezi huu uli nipate tu nafasi ya kujibizana nawe.
πͺπͺππͺπ¨πβοΈ
Tunaendana ujue!Mchokozi
Huzeeki, ujana ndio unapamba moto.Kuna jambo lilinifanya kutokuwa hewani Mkuu. Sikutelekeza. Ila ndo nazeeka π
Usiogope maana watu wanatamani kuzeeka na wanakufa wakiwa wadogo.Naogopa π