April Born Babies

April Born Babies

realMamy

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2024
Posts
4,298
Reaction score
9,953
Hello April born babies.🥰

Kila mwaka ikifika mwezi kama huu Huwa nakuwa na furaha sana.

Huu ni mwezi wangu wa kuzaliwa na Huwa naufurahia sana.

Naendelea kukua na kuwaza mambo makubwa zaidi.

Mliozaliwa mwezi mmoja na mimi tuendelee kufurahia na kumshukuru Mungu kwa uzima na afya.
 
Back
Top Bottom