Ajali tuu? au uzembe? Watu wanajisahau katika mambo makubwa na madhara yanatokea kisha sisi tunahalalisha kuwa ni ajali tuu!
Taarifa nilizopata ni kuwa barabara ya kwenda mbagala imefungwa. watoto wengi wamepotea manake watu wengi watu wazima walikuwa wameenda kuemea makazini. Jamani hali huko si nzuri hasa wa watoto waliokimbia kwenda kujificha.