OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
ACT na TLP wanawaunga mkono magamba wenzao
Mbona nilisikia Act nao wanamuunga mkono Lowassa.. Wakati wa mabadiliko ni sasa.
Mbona nilisikia Act nao wanamuunga mkono Lowassa.. Wakati wa mabadiliko ni sasa.
Nilishangaa kumuona Mrema wa TLP katika msafara wa EL kuelekea kwenye mazishi ya mzee Kisumo. Nadhani amesoma alama fulani hiviACT na TLP wanawaunga mkono magamba wenzao
Nilishangaa kumuona Mrema wa TLP katika msafara wa EL kuelekea kwenye mazishi ya mzee Kisumo. Nadhani amesoma alama fulani hivi
2010????!!!!! Mambo mengi yametokea mabadiliko kibao ndani ya chama na nje.unatumia data za 2010?????? Haya we