medson jonasan
Senior Member
- Jan 14, 2014
- 145
- 27
Haya mpya wezangu watufanye watumwa kila siku Facebook mara pamlchat tena tango au viber na nyungine nyingi sijazimaliza mtanisaidia.SWALI Zinafaida gani kwetu sisi ???? Wakati zote zinakazi moja .huuuu ni utumwa bila kusurutishwa .Mimi nionacho tunatafuta smartphone tuwaongeze pesa bila kujua.kwa mfumo tulionao tutabak maskin hadi kuja kwake kristo.kama imekugusa changia.WACHINA MPO CHANGIENI .