Apps zinazoshabikia Ushoga zifungiwe

Apps zinazoshabikia Ushoga zifungiwe

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,753
Zipo apps zinaunganisha wapenzi wa jinsia moja katika eneo walilopo. Humo wamejaa wanachuo, bodaboda na mabazazi. Dakika 5 nyingi mtu huyu hapa anatwetwa kama Una geto ununue na bia/konyagi uweke geto ndo basi tena. Yaan daily kama wanaambiana. Ni hatari ndugu zangu vijana wamekwisha/oza.
 

Attachments

  • mary_kuyokwa_11046099.mp4
    21.9 MB

Similar Discussions

Back
Top Bottom