Mkuu sisiemu hakuna anayeipenda,ila kumlaumu chalii kama Millard Ayo huku sisi wananchi tukiambia tuingie barabarani hata kiuoga uoga hatuwezi ni unafki tuMillard Ayo ni pandikizi la CCM acheni kufuatilia habari zake
Yaan watu wapu...v kama Nyie huwa sijui mnawazaga ninii.Millard Ayo ni pandikizi la CCM acheni kufuatilia habari zake
Mkuu samahani sana,window 10 inanimalizia sana bundle langu kupitia automatic updates.Ni kwa jinsi gani ninaweza kuzuia hii autimatic update isifanyike?Muungwana Blog, ITV Tanzania, Mdundo (sijui ni Halotel hawa?), Tigopesa.
Seti network yako kama metered connection, haitatumika kwenye updates. Kuipata hio options utaenda setting kisha network kisha tafuta jina lake kisha eka on hio metered connectionMkuu samahani sana,window 10 inanimalizia sana bundle langu kupitia automatic updates.Ni kwa jinsi gani ninaweza kuzuia hii autimatic update isifanyike?
Nilikuwa naangalia Apps za watanzania ambazo zina Install Milioni 1 au zaidi..kwenye Play Store
Nimezipata 2 tu
1. Millard Ayo
2. Kupatana
Nataka kujua kama kuna nyingine, unaweza ukaiweka hapa kwenye comments.
Lengo: Ni kujifunza kutoka kwao, wanafanya nini ili kufika huko,maana Apps nyingi za Bongo zinacheza kwenye 10k hadi 200k installs
Shukrani mkuu,ubarikiwe sana[emoji120]Seti network yako kama metered connection, haitatumika kwenye updates. Kuipata hio options utaenda setting kisha network kisha tafuta jina lake kisha eka on hio metered connection
nawewe mpenda chura una uwezo wa kubariki?Shukrani mkuu,ubarikiwe sana[emoji120]
Naomba kuelimishwa kuhusu:Inspite vs Despitenawewe mpenda chura una uwezo wa kubariki?
Inspite of liking Chura you still can kubarikiNaomba kuelimishwa kuhusu:Inspite vs Despite
Msalimie MajeleInspite of liking Chura you still can kubariki
You still can kubariki despite the fact that you like Chura
Kwani hujuwi kuwa watanzania wanapenda sana umbea na ujinga, yaani mtaani siku hizi tunaitwa wafuasi wa Trump. Wewe fungua website yako na uweke habari za nchi na dunia pamoja na matukio ya hapa na pale muhimu kwa wananchi alafu mimi nifungue mtandao niwe nabandika tu ujinga wa wasanii wetu uchwara, na msanii gani kaliwa denda ama nani anashikishwa ukuta, na kushinda mtandaoni kutafuta habari za wasanii wa Marekani wasio hata na ishu utaona wananchi wanakwenda wapi kwa wingi.Nilikuwa naangalia Apps za watanzania ambazo zina Install Milioni 1 au zaidi..kwenye Play Store
Nimezipata 2 tu
1. Millard Ayo
2. Kupatana
Nataka kujua kama kuna nyingine, unaweza ukaiweka hapa kwenye comments.
Lengo: Ni kujifunza kutoka kwao, wanafanya nini ili kufika huko,maana Apps nyingi za Bongo zinacheza kwenye 10k hadi 200k installs
Mkuu katika hii dunia ya utandawazi yaani unashindwa hata kujisomea ili ujuwe, unataka watu wakufundishe? Hujuwi kuna online dictionaries za Kiswahili, aisee unatia kinyaa mkuu. Wewe Magufuli akikuona, haki ya Mungu atakukamata akakufunge.Naomba kuelimishwa kuhusu:Inspite vs Despite
Magufuli huyuhuyu ambae ameifanya SADC kuwa ya hovyo hadi magaidi wa ISIS wanatamalaki au unamzungumzia Magufuli yupi?[emoji848][emoji848][emoji848]Mkjuu katika hii dunia ya utandawazi yaani unashindwa hata kuhisomea ili ujuwe, unataka watu wakufundishe? Hujuwi kuna online dictionaries za Kiswahili, aisee unatia kinyaa mkuu. Wewe Magufuli akikuona, haki ya Mungu atakukamata akakufunge.