Naandika post hii nikiwa kama majeruhi na muhanga baada ya vibaka kukwapua LG yangu, Kinacho niuma niliweka app nzuri tu ya kutrack kimeo changu lakini inaonekana mwizi wangu alifanya factory reset simu ikafuta kilakitu ikiwemo downloded apps zote
Kwa hasira nimetafuta iphone sasa wakikomba tunakosa wote
Naomba wataalamu wa simu watusaidie jamani tufanyaje sasa, niliambiwa nisiweke lock yoyote ili mtu akiiba asipate tabu na ili iwe rahisi kumpata lakini wapi, jamaa wakikwapua tu kitu cha kwanza ni hard reset mchezo umekwaisha
Hivi haiwezekani kuzihamisha hizi apps za kutrack stolen or lost phone kwenye system ili hata akifanya factory reset apps inaendelea kuwepo na kufanya kazi