apps za android | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

apps za android

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by snochet, Nov 30, 2011.

 1. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #1
  Nov 30, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  hallo wananchi,ninapata shida kidogo juu ya kupata application za android hasa compatible kwa i-phone na samsung galaxy,kwa anayefahamu tafadhali anidondoshee hizo link hapa chini kama comment,natanguliza shukrani zangu------------free applications prefferably
   
 2. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #2
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,236
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  unamaanisha nini hapo hujajieleza vizuri, unahitaji application za Android au Iphone maana hivi ni vitu viwili havina uhusiano... website hii hapa ya application za Iphone na zote ni bure ila Iphone yako iwe tu jailbroken',,,,, ( apptrackr ยป home )
   
 3. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #3
  Nov 30, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  App za Android haziwezi kufanya kazi iPhone, Operating System tofauti. Fungua App ya Market kwenye simu yako utapata App zote. Au nenda https://market.android.com/
   
Loading...