mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,309
- 942
Kitambo icho nilikua natumia hii app
BackCountry Navigator TOPO GPS PRO v6.9.4 APK Paid
Spread the love Descriptions : Download topo maps for an offline outdoor navigator! Use yourapkcap.com
iko poa sana, ina create waypoints,trackpoints kama kawa na ukalitumia resulted file (waypoints.gpx) kwa ARC GIS vizuri tu
sema tu inatumia internet (data) na GPS ya simu lazima iwe ON
usitegemee accuracy ikawa sawa na Garmin ,
reference: kwa Samsung S4 GPS accuracy ilikua inagonga 12m ivi
Here maps sema siku hizi haziwi update sana. Garmin anatumia hizo map pia. Ni offline ukishadownload map data za Tanzania ama mahali ulipo haihitaji internet kutumia.
Kama mdau alivyosema hapo juu gps za simu hazina accuracy kubwa kivile. Ila ukipata simu za kisasa zinazotumia positioning system zote kama Gps, Glonass, beidou na Galileo itasaidia kwenye accuracy hadi 5m hivi.
kwa maelezo yako haifanyi kazi sawa na garmin labda kama unataka uitumie kwa location tuKitambo icho nilikua natumia hii app
BackCountry Navigator TOPO GPS PRO v6.9.4 APK Paid
Spread the love Descriptions : Download topo maps for an offline outdoor navigator! Use yourapkcap.com
iko poa sana, ina create waypoints,trackpoints kama kawa na ukalitumia resulted file (waypoints.gpx) kwa ARC GIS vizuri tu
sema tu inatumia internet (data) na GPS ya simu lazima iwe ON
usitegemee accuracy ikawa sawa na Garmin ,
reference: kwa Samsung S4 GPS accuracy ilikua inagonga 12m ivi
Agps pekee haitoshi mkuu ili simu iweze kucompete na scientific gps device inahitaji iwe na dual frequency, iwe na gps, beidou, galileo, glonass etc maana kuna maeneo Gps inaweza kuwa haioni na satelite nyengine ikaona. Na simu hizi nyingi bei zake ni ndefu, huwezi ukanunua kisimu cha laki 2 ama 3 utegemee upate accuracy ya maana....
Kama simu ina built in gps inafanya kazi vizuri zaidi ya hiyo garmin. Zilizo nyingi zina kamfumo ka Agps, ni kutumia accuracy ya mnara wa simu. Google wameziwezesha android gps enable phones kwa navigation, local na maps. Kabla hujasomba mazagazaga jaribu hizo.
...
kwa maelezo yako haifanyi kazi sawa na garmin labda kama unataka uitumie kwa location tu
Tumia app ya locus map..Habari wadau naweza pata apps inayofanya kazi kama hii gps
View attachment 1333798View attachment 1333799
Sent using Jamii Forums mobile app