Apps ya GPS

mikumiyetu

JF-Expert Member
Aug 16, 2016
1,309
942
Habari wadau naweza pata apps inayofanya kazi kama hii gps

IMG_20200125_091625.jpeg
IMG_20200125_091631.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitambo icho nilikua natumia hii app

iko poa sana, ina create waypoints,trackpoints kama kawa na ukalitumia resulted file (waypoints.gpx) kwa ARC GIS vizuri tu

sema tu inatumia internet (data) na GPS ya simu lazima iwe ON

usitegemee accuracy ikawa sawa na Garmin ,

reference: kwa Samsung S4 GPS accuracy ilikua inagonga 12m ivi
 
Here maps sema siku hizi haziwi update sana. Garmin anatumia hizo map pia. Ni offline ukishadownload map data za Tanzania ama mahali ulipo haihitaji internet kutumia.

Kama mdau alivyosema hapo juu gps za simu hazina accuracy kubwa kivile. Ila ukipata simu za kisasa zinazotumia positioning system zote kama Gps, Glonass, beidou na Galileo itasaidia kwenye accuracy hadi 5m hivi.
 
...
Kama simu ina built in gps inafanya kazi vizuri zaidi ya hiyo garmin. Zilizo nyingi zina kamfumo ka Agps, ni kutumia accuracy ya mnara wa simu. Google wameziwezesha android gps enable phones kwa navigation, local na maps. Kabla hujasomba mazagazaga jaribu hizo.
...
 
Asante

kwa maelezo yako haifanyi kazi sawa na garmin labda kama unataka uitumie kwa location tu
 
Agps pekee haitoshi mkuu ili simu iweze kucompete na scientific gps device inahitaji iwe na dual frequency, iwe na gps, beidou, galileo, glonass etc maana kuna maeneo Gps inaweza kuwa haioni na satelite nyengine ikaona. Na simu hizi nyingi bei zake ni ndefu, huwezi ukanunua kisimu cha laki 2 ama 3 utegemee upate accuracy ya maana.

Playstore kuna app inaitwa gpstest unaweza tumia kuangalia uwezo wa simu husika.
 
pia cheki na GPS essential inaweza kukusaidia coz ina track waypoint,line na kuchukua coordinate pia accuracy yake ipo vizuri

na inaweza kuwa imported na shapefile from other source ikafanya kazi na pia inaweza kutoa data za GPX format zikafanya kazi kwenye QGIS na ARCGIS
 
kwa maelezo yako haifanyi kazi sawa na garmin labda kama unataka uitumie kwa location tu

sio kwa location tu mkuu, nimeitumia sana, pindi nalipokua mbali na Garmin, inafanya point marking, waypoint collection, tracking ( ina real time tracking) , routing na baadhi ya features zengine za msingi,

inaunda gpx file tayari kua imported kwa mapping software( Arc GIS, QGIS, MapSource) na ika render points zote

sema accuracy ndio changamoto ( na hasa inategema na simu)

Ni kweli Garmin bado iko professional zaidi maana ina features zingine nyingi kemkem, bei yenyewe inasema
 
unaweza tumia hii app ODK Collect - Apps on Google Play, odk collect unafanya zaidi ya survey. ila gps accuracy inategemea na simu ila unaweza pata hadi 1m accuracy kwa simu za range 200,000 na kuendelea. changamoto moja tu, ni jinsi gani ya kuiset ila ni full surveying app, utatupa karatasi zako zote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom