Apps nzuri kwa mwanafunzi

Kibao cha kujifunzia a,e,i,o,u ni muhimu sana!
 
hilo la mwandiko asisahau na la vyumbavyumba la hesabu muhimu pamoja na lisilo na mistari yoyote jeupe la sanaaa(kuchora)


wewe ni wa enzi zangu...daah umenikumbusha mbali sana mkuu!!!
 
anaenda kusoma nini? level gani?

Ukute mwenzio anajiandaa kuingia form one wewe unamwambia scientific calculator na libgen!!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…