APPS ZA GOOGLE ZILIZOSHINDWA SOKONI
Apps nzuri lazma iwe na makadirio mazuri sokoni, kama kwanzia nyota 4 kwenda juu.
Google Hangouts.:-Hii imetkka mbali sana,mwanzoni ilikua unajuliakana kama Google talk, ikakosa upendezi, ikafanywa kuwa Messengeplus bado haikufua dafu na mapinduzi makubwa yakafanywa kutokana na Ilivyokuja WhatsApp, app hii ikapewa uwezo wa kuchat online kama WhatsApp na pia kutuma ujumbe mfupi,lakini bado haijawashawi watu wengi kuipenda. [4.0 viwango playstore]
Google Play Music:-Hii ni kichezaji[player]kwa muziki, app ni ya muda lakini kutokana na soko la apps kuwa na ushindani mkali app hii imekosa mvuto kwa watumiaji wa wake, simu ya Android zinapokuja zinakuja na app ya kucheza mziki,na pia hii na Google huenda hii ndo inayochangia kukosa upendezi, kingine katika hii app, haina kucheza nyimbo kwa folda, hii inachanganya nyimbo zote kwa pamoja, wakati watu wanapenda kucheza aina fulani kwa kupanga, kama ni hip hop pekee na afropop kivyake, lakini ukiwa na app hii huwezi kutemganisha hivyo.[ 3.9 viwango playstore]
Google Play Movies&Tv:-Hii app huenda ni kwa TZ ama Afrika lakini sijawahi hata kufanikiwa kuona
SEE MORE