Apps kutoka device storage to SD in S5

124 Ali

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2010
Posts
7,812
Reaction score
5,522
Wakuu nashindwa kuhamisha app nikijaribu inaniambia not enougj space wakati nina 16gb internal na 16 GB sd card.
Msaada tafadhali
 
Wakuu nashindwa kuhamisha app nikijaribu inaniambia not enougj space wakati nina 16gb internal na 16 GB sd card.
Msaada tafadhali
Root simu kisha weka app kama app to sd au system app remover ina hyo option
 
kama ni s5 nenda marshmallow halafu tumia adaptive storage kuifanya sd card iwe kama internal memory
 
kama ni s5 nenda marshmallow halafu tumia adaptive storage kuifanya sd card iwe kama internal memory
Mkuu mkwawa tayari ipo marshmallow nafanyaje hiyo adaptive storage?
Simu yangu ni S5 900f
 
Mkuu mkwawa tayari ipo marshmallow nafanyaje hiyo adaptive storage?
Simu yangu ni S5 900f
mkuu samsung bado hawajaieka hii feature kwenye rom zao za touchwiz lakini ipo ndani ya marshmallow hivyo utahitaji pc na usb cable na software ya adb kueka hio memory card kama internal memory.

ila jambo moja muhimu hio sd card ni class ngapi? kama ni slow tegemea simu yako iwe slow sana
 
Mkuu hiyo hapo chini nahisi ni class 10.
 
Chief ahsante sana bado sijaifanyia kazi kutokana na ukilaza wangu maeneo hayo ila nita mconsult mpwa wangu mmoja atafata maelekezo yako !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…