Appreciate your Beautiful Breasts

Ha ha ha ha ha, kama umeshakongoroka konsentreti na bibi tu

Tusije tukasikia 'tanzia' bure, maana vibinti vya kisasa vinawarusha watu kichura chura.

mwambie kabisa manake asifikiri wa siku hizi wana style za ''mbwa kachoka!'' watu wamekuwa more advaenced full mahot powder na mahaga chezeya vibinti vya mujini wewe!
 
Enzi mwalimu alikuwa kiongozi, akisema ni amri.

Kuna mmoja aliwahin chagua sampo ya msichana darasani eti akafanye experiment
Binti hataki lakini ni lazima mwalimu afanya experment ili aweze elezea darasa 'process ya production' ikoje

Mhhh...nahisi kama lilikuwa zoezi la kuvutia hilo....vinginevyo sijui kama farasi anaweza kukamliwa maziwa bila kurusha teke!!
 
Aisee, naomba hayo ya bluu nikayajaribu

Kuna mtu nataka anihonge vits ila anasua sua

mwambie kabisa manake asifikiri wa siku hizi wana style za ''mbwa kachoka!'' watu wamekuwa more advaenced full mahot powder na mahaga chezeya vibinti vya mujini wewe!
 
babu nini jamani unalilia nyonyo kama mtoto mchanga

Umesahahu kuwa ukizeeka unafikiria kama mtoto mchanga.....

Taabu yangu ni kwamba hata meno yenyewe sina....!

Huu uzee ni kama laana...yaani ukishuhudia jinsi wajukuu walivyojikomboa kwa ku-boost, unaishia kumeza mate ili kupooza ulcers!!

Duuuuuuuuuu,

Ngona nikalale kwanza!!
 
wacha kabisa mambo ya kuboost babu kakumbukia yaliyoboostiwa mpaka usingizi,Yani mpka kasahau leo kuwe ile
Babu DC!
anananannanannhahahhahahhahahha!
 
Babu Babu Babu Dc! Kalale sasa utaamshwa baadae!

Ha ha ha ha ha ha haaaa!

Umesahahu kuwa ukizeeka unafikiria kama mtoto mchanga.....

Taabu yangu ni kwamba hata meno yenyewe sina....!

Huu uzee ni kama laana...yaani ukishuhudia jinsi wajukuu walivyojikomboa kwa ku-boost, unaishia kumeza mate ili kupooza ulcers!!

Duuuuuuuuuu,

Ngona nikalale kwanza!!
 
Kwetu kuna msemo wazee huwa wanasema kujifariji

"hata kama siwezi tafuna mhogo mbichi, naweza lamba kwa kiu ya roho na kuongeza siku za kuishi' :behindsofa:

Nimesema tu, simaanishi chochote

Nilishakwambia siku nyingi wewe Kongosho,

Humtakii mema Babu wa watu.....

Hivi utalia ukisikia kuwa Babu DC ka-RIP mida ya dinner kwa sababu BP imezidi uwezo wa meter kuisoma??

Hapana aisee...ngoja niendelee kuwapigia wajukuu zangu story....

Umesahau kuwa oral traditions tuliambiwa ni njia mojawapo ya kutoa elimu kwa vizazi vipya?

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
wacha kabisa mambo ya kuboost babu kakumbukia yaliyoboostiwa mpaka usingizi,Yani mpka kasahau leo kuwe ile
Babu DC!
anananannanannhahahhahahhahahha!

Kumbe nimesahau??.....kudadeki....haya mambo yanatisha snowhite!!

Naapa sitarudia kusahau tena, hata kwenye hii post...

Ila na nyie mmezidi aisee...majuzi nilienda kwenye harusi fulani, kuna dada alikuwa kayaweka kwenye display kabisa na ndiye alikuwa floor manager!! Yaani kila baada ya kama dakika 10 lazima clip ijirudie...

Kwa kweli kazi vijana wanayo.......Sie tunaishia kuseme mhhhhhhhh...na kumeza mate tu!!

What else can we doo....ngoja niishie hapa nisije kusahau sahihi ya babu!!
 
Last edited by a moderator:
Ukitaka usipate madhara, usishawishike kutafuna mhogo na mapengo

Kulamba ule utamu utamu wa mhogo ruksa, haina presha

Tatizo mababu wa sasa nao, mko bize kutaka kuitafuna mihogo na mapengo

Nilishakwambia siku nyingi wewe Kongosho,

Humtakii mema Babu wa watu.....

Hivi utalia ukisikia kuwa Babu DC ka-RIP mida ya dinner kwa sababu BP imezidi uwezo wa meter kuisoma??

Hapana aisee...ngoja niendelee kuwapigia wajukuu zangu story....

Umesahau kuwa oral traditions tuliambiwa ni njia mojawapo ya kutoa elimu kwa vizazi vipya?

Babu DC!!
 
Kumbe nimesahau??.....kudadeki....haya mambo yanatisha snowhite!!

Naapa sitarudia kusahau tena, hata kwenye hii post...

Ila na nyie mmezidi aisee...majuzi nilienda kwenye harusi fulani, kuna dada alikuwa kayaweka kwenye display kabisa na ndiye alikuwa floor manager!! Yaani kila baada ya kama dakika 10 lazima clip ijirudie...

Kwa kweli kazi vijana wanayo.......Sie tunaishia kuseme mhhhhhhhh...na kumeza mate tu!!

What else can we doo....ngoja niishie hapa nisije kusahau sahihi ya babu!!
ahahahhahhahhahahhaah ngoja mi ntakuwa nakuwekea!anahahhaha manake ushasau sana!
 
Ukitaka usipate madhara, usishawishike kutafuna mhogo na mapengo

Kulamba ule utamu utamu wa mhogo ruksa, haina presha

Tatizo mababu wa sasa nao, mko bize kutaka kuitafuna mihogo na mapengo

Huko unakotaka kwenda siko na babu hawezi kurudi kamwe,

Naona sasa unataka kunilazimisha nikajifunze kukemea..lol!!

Babu DC!!! (@snowhite , hapa sijasahau)!!
 
na mimi nimejaaliwa nayo.wacha niya appreciate kwa kuyaangalia tu,na kucheka peke yangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom