Application zaid ya moja utumishi

Application zaid ya moja utumishi

korino

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,014
Reaction score
684
Habari zenu wana jf! Kwanza angalieni utumishi wametoa nafas nying sana za kazi jana! Then nauliza je tunaweza kufanya application zaidi ya moja kwa taasisi moja? Maana kuna nafad zaod ya 5 ambazo kwa vigezo vyangu vikakidhi!Je inakubalika kutuma zote?
 
sorry....utumishi wao hupendelea barua ziandikwe kwa mkono ama zilizochapwa....mwenye uzoefu tafadhali!
 
andika kwa mkono au kuchapa vyote vinakubalika ila inapendeza zaidi ukiandika kwa mkono lakin km unaona mwandiko wako uko km wa PROPESA mwongo bora ukachape
 
sorry....utumishi wao hupendelea barua ziandikwe kwa mkono ama zilizochapwa....mwenye uzoefu tafadhali!

Siyo utumishi tu... Barua yoyote inayoelekeza maombi ya kazi Serikali zinapaswa kuandikwa kwa mkono. Hiyo ni moja ya sifa inayokutofautisha wewe na waombaji wengine. Ni vyema na Muhimu sana kuandika kwa mkono. Lakini mwandiko mzuri nao unaongeza ladha kwa wachaguaji.
 
Ishu ya barua ni vizuri ukangalia na tasisi wanasemaje km kutype au kwa mkono.. wakisema andika kwa mkono fanya na km hawasema ouky. Kutozingatia hayo yaweza kuwa sababu ya kuchujwa mapema. Kwa utumishi wao ni both sides, me nlichapa na nkaitwa kazini.. mhimu angalia instructions tu.
 
Aplication zaid ya moja inaruhusiwa lkn wao watangalia pia wafanyaje, sio dhambi multple aplication.
 
jamani inakuaje kama mtu hana anwani yake wala ya jirani maana naona utumishi km kuita watu kazini wanatumia anwani za posta
 
Back
Top Bottom