kama ni kwa watu wote simu yoyote inaweza fanya hivyo, hio setting inaitwa call baring ukieka on mtu yoyote hakupati ukieka off watu wote watakupata
Natumia xperia m,haina call bearing ina call block nadhani ni the same thing ila tatizo linakuja nikiweka enable kwenye all incoming calls inaniomba password na nikiweka password inagoma,Help brother
Habari za jioni na poleni kwa uchovu wa kutwa nzima waheshimiwa sana wa hili jukwaa.Naomba wa application au hata setting ya kufanya simu isipatikane hewani pindi ninapopigiwa while simu ikiwa on nikiendelea na shughuli zangu zingine like surfing.
Shukrani za dhati.
Bad lucky natumia airtel ila thanks kwa ushirikiano wako mkuu