kama unatumia tiGO
kufunga: *35*0000#
kufungua: #35 *0000#. Hapo internate utaendelea kuipata na whatsapp kama kawa
sijajua mitandao mingine inakuaje
Habari za jioni na poleni kwa uchovu wa kutwa nzima waheshimiwa sana wa hili jukwaa.Naomba wa application au hata setting ya kufanya simu isipatikane hewani pindi ninapopigiwa while simu ikiwa on nikiendelea na shughuli zangu zingine like surfing.
Shukrani za dhati.
Mitandao yote ni hivyo hivyo.
Fowadi simu zote kwenye namba feki kama 123456. Hizo code unaweza ukafunga halafu ukasahau jinsi ya kufungua🙂Habari za jioni na poleni kwa uchovu wa kutwa nzima waheshimiwa sana wa hili jukwaa.Naomba wa application au hata setting ya kufanya simu isipatikane hewani pindi ninapopigiwa while simu ikiwa on nikiendelea na shughuli zangu zingine like surfing.
Shukrani za dhati.
Fowadi simu zote kwenye namba feki kama 123456. Hizo code unaweza ukafunga halafu ukasahau jinsi ya kufungua🙂
Mkuu embu elezea vizuri jinsi ya Ku fowad na 6 ukisahau
na nikitaka nikimpigia mtu ioneshe private number nafanyaje wadau
Mitandao yote ni hivyo hivyo.
Mimi cm yangu ni ya laini mbili VODA na tigo nikijaza hizo namba *35*0000#laini ambayo nakuwa sipatikani ni tigo tu voda inakuwa hewani kama kawaida sasa hapo nifanyaje wakuu?
Mmmh ushampachika mtu mimba nini?