Application ya Jf inashida gani?

Application ya Jf inashida gani?

jjs2017

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
2,027
Reaction score
4,307
Hii app ya Jf inatatizo gani wakuu

Mbona haitaki kufunguka kiasi cha sisi watumia app kuhisi kuwa Jf haipo tena kumbe ipo huku kwenye website
 
App gan unasemea mkuu,mbna me natumia hiohio app
 
Back
Top Bottom