Application ya free basics siku hizi haipo?

Ipo kwa laini ya halotel, tigo wamendoa huduma ya freebasics.
Kuna wakati unaeza kufungua usione jamiiforum usiogope inakuwa imefichwa kwenye list pale chakufanya unapewa option ya kupunguza au kuongeza list za websites kwa hiyo unachotakiwa kuingeza hiyo Jamiiforum na kuendelea kuperuzi.
Ahsanteee kwa kunielewa!!
 
Umemaliza kila kitu nakazia pia ipo kwa halotel tu.
 
Asante sana maana ilikuwa inanisaidia sanaaa.natafuta line ya halotel soon
 
Siku Hizi Hazipatikani
Sasa Inabidi Wairudishe Tupate Raha Duniani
 
Ilikuwa Inatuvusha Kwenye Bonde Taratibu
Hasa Kuingia JF Unaminya Jicho Imo 😃😂😁😀
 
Wazee wa free basics, huku kwenye halotel tunaishi nayo sana hasa jahazi likiwa limeyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…