Asante Anne πHaki Tena..
Kuna Mambo huwa unatumia busara Sana ambayo Mimi kwa kweli siwezi.
Kitu pekee ninachoweza ni kukaa kimya.
Wewe Ni kijana mzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa bado natiririka na verse
Kesho tu inatoka ile
Bahati mbaya VN hakuna
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazoea mji sasa
Acha kunirushia mpira
Naamini linaweza kubadilika
Unajifanya lile jibu la "never" hukuliona?
Dah
Nimeona sifa za kumwaga basi hapa kichwani natembea na ile kauli ya "Ukikubali kusifiwa jiandae kutumiwa"
Chizi Wewendio maana bado ilikuwa ya baridi baridi kumbe ilikuwa ndio inazinduliwa?
Nimeona sifa za kumwaga basi hapa kichwani natembea na ile kauli ya "Ukikubali kusifiwa jiandae kutumiwa"