Hahah! Wazee wa kusubiri Pension wengi wao wamekuwa na haya malalamiko ya kutopata Notifications, karibu kwenye browser hayo majanga utayasikia tu kwa wengine
Aisee app ni nzuri sana kwangu. Notification ndio haziji kama zamani ila nikifungua sehemu ya notification naona ingawa zinakuja quotes tu kama nimemensheniwa sipati
Mimi nadhani wepesi au ugumu unategemea wakati unajiunga ulianza na nini