Application online

Green Apple

Member
Feb 2, 2012
84
10
Msaada wadau,hivi unapotuma application kwa kutumia e-mail sehem ya msg body ndo unaandika cover letter? Au cover letter become an attachment as cv?
 
kama instructions za application zinakutaka uandike covering letter then hamna ubaya kuandika sehemu ya message then sehemu ya subject ndo unaandika tittle

sina uhakika sana kuhusu kutuma covering letter as attachment labda wenye uzoefu zaidi watuambie
 
ahsante ngoja tungoje wajuzi wengine
 
cover letter unaiatach..halafu kwenye body ya mail unasema tu kuwa umeattach..
 
ahsante mkuu,vipi tunaosend email zoom sehem ya msg tunaandika nin?
Hivi kuna wanaotuma applications zoom? Nashauri mule tumieni kupata details za kazi husika tu then unatafutanjia nyingine ya kutuma applications kivingine lakini sio kwa ku'upload mule mule kwenye website yao.
 
asante umenipa ujuzi mpya,ila kuandika pia inaruhusiwa

pouwa..lakini ili uwe smart zaidi nakushauri uattach cover leta,na jitahidi cv na vyeti viwe kwenye document moja,ili iwe rahisi kwa muajiri kupitia,na pia pendelea kuweka kwenye pdf file maana ni file format ambayo hailiwi na virusi kirahisi na pia mpangilio wa vitu hautibuki,na ni rahisi kufunguka kwa almost pdf reader zote,ila word document sio nzuri sana maana wewe unaweza ukaandikia kwenye 2010,halafu muajiri anayo ya 2003,na hasa waajiri wa serikali,inamaana hapo hawataweza kuifungua document yako na ndio utakuwa umekosa kazi..
 
Sound good..........
But how to attach in PDF format
 
Hivi kuna wanaotuma applications zoom? Nashauri mule tumieni kupata details za kazi husika tu then unatafutanjia nyingine ya kutuma applications kivingine lakini sio kwa ku'upload mule mule kwenye website yao.

Yah huwa sometimes wanakwambia click here to e-mail(apply) hawatoi e-mail ya wahusika you just have to send a mail to zoom,na kiukweli hyo system huwa inanikera
 
pouwa..lakini ili uwe smart zaidi nakushauri uattach cover leta,na jitahidi cv na vyeti viwe kwenye document moja,ili iwe rahisi kwa muajiri kupitia,na pia pendelea kuweka kwenye pdf file maana ni file format ambayo hailiwi na virusi kirahisi na pia mpangilio wa vitu hautibuki,na ni rahisi kufunguka kwa almost pdf reader zote,ila word document sio nzuri sana maana wewe unaweza ukaandikia kwenye 2010,halafu muajiri anayo ya 2003,na hasa waajiri wa serikali,inamaana hapo hawataweza kuifungua document yako na ndio utakuwa umekosa kazi..

Mfumo wa pdf ni sawa but waajiri wengine wavivu ksubiri download ikamilike waifungue attachment me nadhani attachmen ikiwa ktk mfumo wa ms woard 2003 ndo unakuwa safe maana inafunguka with almos all other ms word type labda ije case ya virus wakuu
 
unaandika cover letter una attach kama wamekurequest.ila mara nyingi wanademand cv tuu.;kwenye msg body unandika salutation.like
kindly see attached files!
 
first you have to convert you cover later or cv into pdf by using pdf conventer
Kujazia download pdf convertor uwe nayo kwenye computer yako. Bila kusaha ku_update cv yako husika ifanane na job description za post husika (sio cv 1 cover all type of post). Ndio maana pdf convertor will help you figure out kuichange kwa kila cv_in_word format to pdf. All the best.
 
Kama unatumia Microsoft office 2007 hauhitaji pdf converter...kwenye link ya "Save as" kuna option ya ku-publish kazi yako ya kwenye word into pdf format!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom