Application Ngazi ya cheti.

Application Ngazi ya cheti.

Samir7900000

Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
52
Reaction score
26
Ndugu JF naomba kuuliza je udahili ngazi ya cheti bhado upo au kwasasa ni diploma na degree tuu. Ninamdogo angu hakufanya application awamu ya kwanza je kwasasa anaweza kufanya?
 
Nenda website ya nacte muda tu wamefungua watu wanaomba mkuu na mwisho tar 5 mwezi wa 8
 
Back
Top Bottom