Mkuu,kama izo Wireless ziko karibu na eneo unaloishi na huwa unaziona kupitia wifi ya kwenye simu na zinakudai password sindo una copy izo then unaenda ku paste kule kwenye sehemu ya password kwa Wireless husika,,,au unziandika pembeni then utazijaza kama WiFi uliyoiona hapo itakua inapatikana eneo ulipo.....
Msaada nimekwama tutani mkuu,hapo nikishaipata hivi na password zikaja hivi naendelea wapi ili nianze kuitumia?
Kwa vifurushi vya MB ni hatar, ni tamu kwa wenye GB za kutoshaMobdro ndo baba Lao... Epl, uefa, la liga, bundesliga, ligue 1, ligi ya marekani, ligi ya Brazil, ligi ya ureno nk.. Zote kiganjani kwako..
Ni ya nini hiyo mkuuGbinstagram nayo ni nzuri sana
Hiv app gani ambauo utaweza hacking mawasiliano ya mtu kuanzia sms, caller na kuendelea
SafiHabari wana JamiiForums,
Leo nimeona niandike kuhusu application za smartphone.
Zifuatazo ni application za smartphone ambazo ninazitumia na zinanisaidia sana;
1.LIBRERA
Hii ni app ya kusomea vitabu ina vitu vingi zaid ya adobe acrobat unaweza weka kitabu cha pdf isome kwa sauti unayotaka we inakua ni kusikiliza tuu na inaweza weka page itembee yenyewe na vingine kama kufungua epub na fomart zote za maandishi na vinginevyo
2 MP3 cutter
Hii ni ndogo sana chini ya 500kb hii hutumika kuondoa matangazo na sehemu katika wimbo ambazo huzipendi
3 MX PLAYER
Hii ni video player ambayo ukidownload wimbo mpya hunashida ya kutafuta yenyewe kitu kipya ina mark kama new pia ina userinterface nzuri
4 POWERAMP
Hii ni audio player nzuri sana wengi wanaijua ila unatumia week bac baada ya hapo unainunua lakini pia kuna uzi humu ulishajadili namna ya kuifungua for lifetime free
5 PRIVATE NOTE
Hii ni app ya kuhifadhi notes zako za muhimu mfano unasoma uzi jf na data zinakaribia isha basi una copy unaufifadhi kwa app ili kusoma offline.pia hii app unaweza uka weka email ikawa inatuma kwa email yako hata ikitokea sim imepotea una nunua sim nyingine una download hii app inarudisha tena notes kwa simu kutoka kwa email yako .faida nyingine ikiweka notes kwa email yako hutoziona ata ukifungua email mpaka uiweke app kwa simu ndo izirudishe
6 HAKIKI
Hii ni app nzuri kwa wajasiriamali kama m-pesa tigo-pesa na airtel money agents hii app inatumika offline inakupa chart mbalimbali kuhusu matumizi yako ya m-pesa ina kueleza miamala uliofanya na faida nyingine kubwa ina kutengenezea transaction statment(bank statment) katika pdf juu ya miamala yote ulofanya na unaweza print unachotakiwa ni kuto futa sms za miamala kabla huja create bank statment(samahani hili sio neno sahii nmetumia unielewe tuu sjui wanaitaje hizi statments haa haa)
7 PURIfy
Hii ni app nzuri sana ku boost simu kwani ina boost kwa kuzima app zotee na kutunza chaji vizuri hii kwangu ndo best kwani nmetumia kama du battery saver na nyinginezo ila kwa hii inafanya vizuri especially kwa simu ambazo hazina ultra power saver
8 TIGO BACKUp
Hii ni kwa wale wenye lain za tigo inafanya security pale ukiibiwa simu inafeature nyingi za buru na za kuripia ila mimi feature nnayotumia ya bure ambayo nmeipenda ni pale ukibadili laini tuu inatuma ujumbe wa namba mpya iliyowekwa kwa namba zingine zaweza kua rafiki au jamaa uliyeseti apokee ujumbe ukiibiwa simu
9 WOrdWeb
Hii ni dictionary ya english to english ambayo inatumika offline na ina maneno mengi sana
10 VIDEORDER
Hii ni ya kudownload video katika fomart mbalimbali youtube pia ina convert video to audio pia inakupa option ya kudawnload mp3 katika wimbo wa video youtube
11 FREEBASICS
HII NI kwaajili ya kutumia jammiiforum bureeeeee bila kuweka vocha
(kwa sie wenye bando la kuunga unga haah haaah)
12.TRUECALLER
hii ni nzuri kwa call za aina yoyote na kutambua namba ngeni jina lake
Next time Mungu akijalia tutajifunza namna ya kubadili kuondoa battery notification sound
kuandika jina lako mfano notification kama BATTERY LOW CONNECT CHARGER kuibadili na kuwa WE MWENYE SIMU HEBU CHOMEKA CHAJA NIMEISHAA haa haa na mengine mengi tuu tuombe uzima
Samahani sana kwa uandishi wangu mbovu lakin nahis utanielewa
See you next time
Mh mbona haikuletei zinazosomwa na wifi wakati huo??,yaani mfano upo posta.umescan ukapata villay,scary au ppf,ukija huku ktk app inakuletea za mbali na ulipo ambazo hata uconect hazikubari sababu ya range.za jirani huoni hata moja.Mkuu,kama izo Wireless ziko karibu na eneo unaloishi na huwa unaziona kupitia wifi ya kwenye simu na zinakudai password sindo una copy izo then unaenda ku paste kule kwenye sehemu ya password kwa Wireless husika,,,au unziandika pembeni then utazijaza kama WiFi uliyoiona hapo itakua inapatikana eneo ulipo.....
Nyie watu class bana.simu ni kwa ajiri ya kupiga na sms tu.sasa mbona ume base sana kwa Android sisi wa IOS hatutaki mazoea
Kiaje mkuu,kwa ufahamu wangu kama ni kwa hizi speaker za bluetooth au music system za nyumbani,hamna complication una pair kisha unafungua default app na kupiga mziki.wala haihitaji application ya nje.Wakuu anaejua application ya music player inayo support kusikiliza audio via bluetooth devices? pleas naomba msaada wenu
Asante mkuu kwa ushauriKiaje mkuu,kwa ufahamu wangu kama ni kwa hizi speaker za bluetooth au music system za nyumbani,hamna complication una pair kisha unafungua default app na kupiga mziki.wala haihitaji application ya nje.
Nii gb instagram ina sifa nying tu ikiwemo ku download video na pichaNi ya nini hiyo mkuu
Nyie wa ios hpat vitu ving coz android ina watumiaj weng sana dunian afu ni simplesasa mbona ume base sana kwa Android sisi wa IOS hatutaki mazoea
Wakuu anaejua application ya music player inayo support kusikiliza audio via bluetooth devices? pleas naomba msaada wenu
Mkuu hizi truecaller ziko nyingi nawezaje kupata ambayo nikipigiwa linakuja na jina la anayepiga?Ni habari njema kwetu watumiaji wa Android..... Ila bila shazam na truecaller bado cellular yangu haijakamilika
Hata mm nimeshangaaSijaona App ya JF sio bora?