Application muhimu kwa smartphone yako

Jet audio.

Kwa wapenda sauti nzito na ya juu ktk headphones.Ila shart isetiwe.picha kuatarch humu hata sijui.

Ila atakayedownload aifungue hapa hapa nimpe maelekezo na wengine waone.

Uzuri wa hii haina muda utaitumia tuuuuuuu,sio kama Poweramp.
Power ramp naye haina ukomo endapo utaipatch kwa Lucky patcher
 
Power ramp naye haina ukomo endapo utaipatch kwa Lucky patcher
Tatizo mpaka uroot device yako,wakati huo marshmallow kuendelea sio rahisi tena kuroot kwa layman.

Halafu power ramp ina sound distotal ukiongeza base.wakati kwa jet audio hiyo kitu haipo na ina boost sauti bia kwa ratio ya bar moja zaidi ya sauti ya kawaida kwa wale wenye device zenye sauti ndogo.
 
Yea but mm nikuombe kitu msaada wa hii Jet audio, jins ya kufany iwe na hzo sifa unazosema
 
Mkuu unaweza nisaidie jinsi ya kuset ile standard nzuri katika jet audio player
 

Mkuu mbona hazipo kwenye I phone
 
We jamaa nitakutafuta
 
Mwenye uelewa wa app nzuri ya kublock haya matangazo ya kwenye apps, yanazingua sana
 
Yea but mm nikuombe kitu msaada wa hii Jet audio, jins ya kufany iwe na hzo sifa unazosema
Dah mkuu ingekuwa rahisi sana kama ningeweza kuapload picha humu,tatizo hata sijui namna ya kiziweka humu.
 
Ningeweza kurusha screenshot humu,tatizo hata Sjui inawekwaje hapa jukwaani.

Kama unatumia browser mkuu ni hivi ukishafika kwenye reply kwa chini utakuta hivi na unata tap hapo kwenye kilichozungushiwa alama nyekundu hatimae utafanikiwa
 
Haya wadau maelezo ya setting ktk jet audio kupata sauti maridadi kabisa.ukikwama unauliza.


Nenda playstore kisha pakua jetaudio install.nenda ktk system file(files)chagua audio yoyote kisha recommend kuplay ktk jet audio itafunguka jet na kuanza kucheza hiyo audio,kisha fuatilia maelezo haya kupata kitu tofauti.

1.angalia juu ktk screen ya jet kuna icon za customization saba,baada ya jina la wimbo,hesabu ya tatu kutoka kushoto gusa(uwe makini ukigusa hovyo zinajificha,mpaka uguse tena).

2.baada ya kufunguka utakutana na neno equalizer(hakikisha icon yake inawaka blue)halafu custom ni flat au unaweza badilisha ukachagua room nyingine.

SETTING.

Preamp sogeza cussor mpaka mwisho kulia 10+.hii ndio booster ya sauti.

Line no moja inayofuata chini take sogeza cussor kulia mpaka 4+(hii ndio base waweza pandisha na kupunguza kwa kusogeza kulia na kushoto.

Line ya tatu sogeza kushoto mpaka -8.

Line ya nne kushoto -4

Line ya tano neutro 0

Line ya sita kulia mpaka +5

Line ya saba peleka mwisho kabisa kulia +10(hii ni treble,mchicha unaweza punguza kwa kupelekร  kushoto)

Line ya nane peleka kulia mpaka +5

Line ya tisa neutron 0

Line ya kumi nenda kushoto -4

Line ya kumi na moja peleka kulia mpaka +10.

Baada ya hapo automatic umbo la cussor litakuwa kama herufi K iliyogeuzwa nyuma.na baada ya hapo utahisi kitu tofauti ktk masikio yako,kisha back.hata kama una karedio kachovu kachovu utahisi kamepata uhai uliotukuka.



Note:huwa ina tabia kama ya kupunguza base usipowasha muda mrefu,usiogope wewe gusa tu icon yako ile ya tatu utashangaa imeshtuka base tena.

Ukikwama uliza.
 
Tunaanzia hapo.
 

Attachments

  • Screenshot_2017-10-13-23-04-21.png
    51.3 KB · Views: 202
  • Screenshot_2017-10-13-23-02-09.png
    182.7 KB · Views: 182
Mbon hiii wifi map kwangu siiiyelewi, maana ina copy na cjui zinakwenda wpi, nisaidieni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ