the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,929
Iphone 3G update yake mwisho ni iOS 4.2.1 ila kuna trick ya kuifanya ionekane ni iOS 4.3 au hata 5.1
Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk
Na Kama Ana moyo mgumu aijailbreak ndio ate enjoy zaidi broh cha msing update software at lest ufike kwenye 5.1.1
mara nyingi inagoma, naikikubali kuupdate kwenye ios 5.1.1 italeta error sana, labda ungekua na iPhone 3GS.
Na Kama Ana moyo mgumu aijailbreak ndio ate enjoy zaidi broh cha msing update software at lest ufike kwenye 5.1.1
iPhone 3G aipeleke hadi 5.1? Kama ufundi huo upo naomba na mimi mnimegee kidogo mkuu
Baraka inaonekana hizi simu kutumia kwa mtu lofa kuna shuhuli,mi sijawhi kuitumia lakini wengi wa walionunua kwa kutaka sifa wanapata shida nazo sana jinsi kwa mfano ya kudownload apps,miziki na vikorokoro vingine,mimi nishazoea simu zinazotumia android,ziko user friendly kulinganisha na hizo IPhone na BBIphone 3G update yake mwisho ni iOS 4.2.1 ila kuna trick ya kuifanya ionekane ni iOS 4.3 au hata 5.1
Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk
Kwa wale wenye iphone 3G kuja chini, msiwe na wasiwasi. Whited00r is your solution. Haya tembeleeni apa mjipatie solution
Whited00r Upgrade Unlock Jailbreak iPhone 2G/3G iPod Touch 1G/2G
Baraka inaonekana hizi simu kutumia kwa mtu lofa kuna shuhuli,mi sijawhi kuitumia lakini wengi wa walionunua kwa kutaka sifa wanapata shida nazo sana jinsi kwa mfano ya kudownload apps,miziki na vikorokoro vingine,mimi nishazoea simu zinazotumia android,ziko user friendly kulinganisha na hizo IPhone na BB
ndg hz cmu shida c kutumia ila software zake znabeupdated mara kwa mara na kuna ambazo znashindwa support new updates hivyo kukosa cfa ya kupata current updated applications!maana kubwa hizi iphone ni kama zna expire date bhana maaana kama hii yangu ndio haifai tena imebak nichukue na nokia c3 niitumie kwa whatsapp na kudownload baadh ya vitu vyangu muhimu maaana iphone 3g inabrowse dowloading nop nop