Application inayo dowload nyimbo youtbe na hata nikibadilisha simu nyimbo zangu niendelee kuwanazo kwenye simu mpya.

Habari wana jamii naomba mwenye kujua app nayoweza kudownload nyimbo na hata nikibadili simu nizikute mgano picha kwenye google photo nikibadili simu nazikuta.nataka kwa nyimbo sasa. Maana natumia vidmate na tube mate lakini nikibadili simu naanza kudownload upya.msaada mwenye kujua
Hapo angalia tu Vidmate inasave vitu wapi, ukishajua folder fungua Google drive kama huna download then sync hilo folder, sio lazima Google drive waweza tumia pia app nyengine kama Mega, one drive, Dropbox etc.
 
No! Iko fresh tu mbona
Screenshot_20240211-205725_Snaptube.png
Screenshot_20240211-210107_Snaptube.png
 
Back
Top Bottom