Application for Masters and PhD (2018/2019) is now open at UDSM

Gooodwin

Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
78
Reaction score
66
Kwa wale ambao wanaplan ya kusoma Masters na PhD pale Mlimani ( University of Dar es salaam) kwa mwaka huu 2018 tayari wameanza kupokea maombi. deadline tar 30/05/2018.
 
Attachments

Wamepunguza unoko? Mpaka lei nchi haina ma Dr Kwa sababu yao usdm unoko
 
Kwa wale ambao wanaplan ya kusoma Masters na PhD pale Mlimani ( University of Dar es salaam) kwa mwaka huu 2018 tayari wameanza kupokea maombi. deadline tar 30/05/2018.
Asante sana Kaka Mungu akubariki sana aseee... Ikiwezekana na vyuo vyingine uwe unatupa humu... Maana mwaka huu nimepanga nipige Masters..
 
Kwa wale ambao wanaplan ya kusoma Masters na PhD pale Mlimani ( University of Dar es salaam) kwa mwaka huu 2018 tayari wameanza kupokea maombi. deadline tar 30/05/2018.

Kuna mahali wamesema ukiaply unachagua either uanze mwez wa 3 mwaka huu au mwezi wa October? Hapo sijaelewa vzur mkuu.
 
Kwa wale ambao wanaplan ya kusoma Masters na PhD pale Mlimani ( University of Dar es salaam) kwa mwaka huu 2018 tayari wameanza kupokea maombi. deadline tar 30/05/2018.
Mkuu nmeona hapo course zingine zinatolewa kwa module.... Je huwa module moja inachukua duration gani???
 
Yes mkuu..
Mkewangu nahitaji kumuendeleza ni mwl anadigrii mimi ni form four to.. Sema navibiashara vyangu binafsi sijui mambo ya vyuo na yy anagpa ya 2.8alivyoniambia.
Naomba maoni msaada wako
 
Soma hapa vigezo
 
Attachments

  • Screenshot_20180210-131556.png
    Screenshot_20180210-131556.png
    78.3 KB · Views: 102
Yes mkuu..
Mkewangu nahitaji kumuendeleza ni mwl anadigrii mimi ni form four to.. Sema navibiashara vyangu binafsi sijui mambo ya vyuo na yy anagpa ya 2.8alivyoniambia.
Naomba maoni msaada wako
Unasomesha mkeo level ya Master,wewe f4
 
Unasomesha mkeo level ya Master,wewe f4
Kwan ni dhambi mkuu.. Hayo ni malengo ya familia yangu tunampango wakufungua English medium yy atakuwa msimamizi, wakati mimi nikiendelea Name business nyingne.
 
Duh! Kwa hizo gharama heri mtu ufungue biashara yako ya maana.huku Tanzania elimu hailipi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom