Stella Njimbwi
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 882
- 575
Ni lower second mkuu.... kuanzia 2.7(B)
Ni lower second mkuu.... kuanzia 2.7(B)
I stand to be corrected
Unasoma ili iweje hasa?....natamani ningejua madhara ya elimu mapema nisingekubali kusoma na kuwa brainwashed kiasi hiki...yani kweli mimi nimekuwa mtumwa ...kutegemea elimu ya mzungu ili niishi...aiseee acha tuu.