APPLICATION FEES,2019/2020

APPLICATION FEES,2019/2020

damy P

Member
Joined
Mar 1, 2019
Posts
23
Reaction score
4
iv huu ndo utaratibu gani kila chuo mwaka huu kina application fee yake kwa wale wanaoomba bachelor degree,CUHAS[bugando] application fee Tsh 30000,kcmuco[kcmc] application fee Tsh 50000,MUHAS application fee Tsh 10000,UDSM Tsh 10000,mwaka jana kiongozi mkubwa wa serikali atoa maagizo appliction fee isizidi Tsh 10000,cha ajabu zaidi naona mwaka huu kila mmoja anakuja na style yake,IV HAWA TCU WAKO WAPI?KWA HIYO AWAYAONI HAYA?iv inawezekanaje ulipie sh 50000 kwa ajili ya chuo kimoja tu na kutokana na competition lazima wanafunzi wataomba zaidi ya chuo kimoja,kama kunawahusika humu ebu liangalieni hili,kuna miaka fulani mtu akilipia Tsh 50000 anauwezo wakuomba vyuo vitano sa hii leo kila chuo kinakuja kitakavyo,
 
HIYO NI MWAKA JANA. NDIO MAANA HATA HESLB YA MWAKA JANA NI TOFAUTI NA HUU
 
tofauti ya mwaka sio hoja,ok fine basi nambie ni kwann imekua ivyo sababu ya msingi ni ipi?application fees ya mwaka jana na mwaka huu zitofautiane??
 
Private wanaongeza application fee kiasi hicho ili kupungiza pia wale ambao huapply tuu...na atawakipata wanaweza wasiende,

Hapo walioserious tuu ndio wanaweza wakaapply hivyo vyuo

Mwakajana kcmc ilikua bure,afu baadae awam ya pili na tatu wakaweka 10000 uliza kilichowakuta

Waliopata nafasi walikua weeengi weengi,ila waliofika chuo walikua ni wachache
 
We unafikiliaje kwani?
 
iv huu ndo utaratibu gani kila chuo mwaka huu kina application fee yake kwa wale wanaoomba bachelor degree,CUHAS[bugando] application fee Tsh 30000,kcmuco[kcmc] application fee Tsh 50000,MUHAS application fee Tsh 10000,UDSM Tsh 10000,mwaka jana kiongozi mkubwa wa serikali atoa maagizo appliction fee isizidi Tsh 10000,cha ajabu zaidi naona mwaka huu kila mmoja anakuja na style yake,IV HAWA TCU WAKO WAPI?KWA HIYO AWAYAONI HAYA?iv inawezekanaje ulipie sh 50000 kwa ajili ya chuo kimoja tu na kutokana na competition lazima wanafunzi wataomba zaidi ya chuo kimoja,kama kunawahusika humu ebu liangalieni hili,kuna miaka fulani mtu akilipia Tsh 50000 anauwezo wakuomba vyuo vitano sa hii leo kila chuo kinakuja kitakavyo,
Limit iliwekwa kwa vyuo vya serikal tu na sio private.
 
Private wanaongeza application fee kiasi hicho ili kupungiza pia wale ambao huapply tuu...na atawakipata wanaweza wasiende,

Hapo walioserious tuu ndio wanaweza wakaapply hivyo vyuo

Mwakajana kcmc ilikua bure,afu baadae awam ya pili na tatu wakaweka 10000 uliza kilichowakuta

Waliopata nafasi walikua weeengi weengi,ila waliofika chuo walikua ni wachache
logic
 
Back
Top Bottom