Ni tarehe 2 Novemba ndo vyuo vya Serikali vinafunguliwa ila Vya Private kama Saut n. K vingi ni 25-27October kwa Wanafunzi wapya wakati wanaocontinue ni 2/novemba..
ambao mmeomba ualimu wa NTA level 7 naomba
tukutane whatsApp just sms JOIN ME kupitia your
namba kwenda namba 0782512637 ....tuma sms ya
kawaida..usitume kupitia whatsApp.
Ni tarehe 2 Novemba ndo vyuo vya Serikali vinafunguliwa ila Vya Private kama Saut n. K vingi ni 25-27October kwa Wanafunzi wapya wakati wanaocontinue ni 2/novemba..
Ni kero sana alafu wameongeza hadi 19 September cha ajabu hakuna option ya kureset choices. Mi kuna mtu kaniomba nimbadilishie choices imenigomea kabisa
Jamani hivi ni sababu zipi zinazopelekea nacte kuongeza application deadline kila siku mfano katika education, inamaanisha watu waliofanya application ni wachache kwahiyo hawatoshi vyuoni au inakuaje hapo.