wiz king treasure
Member
- Apr 25, 2015
- 52
- 2
Ni kero sana alafu wameongeza hadi 19 September cha ajabu hakuna option ya kureset choices. Mi kuna mtu kaniomba nimbadilishie choices imenigomea kabisa
Choises unareset ila unatakiwa utumie kompyuta kwa simu no.
Si kweli unachokisema, mimi nimeweza kureset choices zaidi ya mara tatu nikitumia simu tu.....
Ni kwann sasa?
Hio application ni kwa w' funz wa walomaliza form six tu au mpk walomaliza diploma? Hem nisaidien mwenzenu
Km mwnzo hukueza ku apply unaweza kufanya application nw?
Mmmh labda leo km itakubali ila mimi jana nimetumia PC hawakuweka option ya ku reset choices, iliyokuwepo ni CONTINUE WITH YOUR APPLICATION.Ni hivi,hata ukireset kwa simu hautaona mabadliko hadi utumie top kulog in..