Application D.I.T

Application D.I.T

angelstars

Member
Joined
Jul 31, 2018
Posts
11
Reaction score
2
Habari ndugu, Nimefanya application DIT kwaajili ya kujiunga degree mwaka huu, lakini nilikosea nilichagua mwanza campus badala ya dar-es-salaaam campus,,,,na ukweki ni kuwa mwanza campus hawatoi degree
Sasa naomba mnijuze jinsi ya kubadilisha kwa maana sioni hiyo option kwenye system yao,,na kwa kuwa nilikosea kuchagua campus inaniletea ugumu kwenye kuchagua course
Asanteni
 
Pale pale sehemu yakuchagua inakuletea options mbili mwanza na Dar campus si unaselect dar then unaendelea na procedures
 
Back
Top Bottom