ManiTek TV
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 410
- 159
hawa apple hawajiamini kila kitu wanasajili hata pembe, hat mbinuko. Mimi naoana hii inapunguzo kasi ya ushindani maana kutengeneza kitu chenye double screen sidhani kama apple tu ndiye aliwahi kifikiria obviously kama kuna screen inayoweza kukunjwa basi lazima vyovyote vile kuna gadgets amabazo zitatengenezwa zikiwa na screen ilijikunja kwa hiyo apple kusajili hiki kitu naona kama vile ni kuwaonea wengine.
Huu ni mtazamo tu

Hii kali kaka, lakini sio Apple peke yao, hivi karibuni Samsung nao si walisajili haki miliki ya simu kujua kama unaangalia skrini, ambayo ndio wamei-implement kwenye Galaxy S4.Sasa hivi hali ya ushindani sio yenyewe kabisaa! Ndio maana Apple waneamua kukaba hadi penalti, Lol!
Patent right na trade mark ni vitu muhimu kwa upande fulani, sisi hatuendelei kwa sababu ya kuigana igana na kunyakuliana haki zisizo zetu.Tangu Steve aage dunia, hii kampuni imekuwa ina mambo ya kiajabu tu, ivi jana walikataliwa trademark yao ya "ipad mini"
hawa apple hawajiamini kila kitu wanasajili hata pembe, hat mbinuko. Mimi naoana hii inapunguzo kasi ya ushindani maana kutengeneza kitu chenye double screen sidhani kama apple tu ndiye aliwahi kifikiria obviously kama kuna screen inayoweza kukunjwa basi lazima vyovyote vile kuna gadgets amabazo zitatengenezwa zikiwa na screen ilijikunja kwa hiyo apple kusajili hiki kitu naona kama vile ni kuwaonea wengine.
Huu ni mtazamo tu
Swala sio kua wakwanza kufikiria swala ni kwamba nani ni wa kwanza kwenda kuregister...so kama wengine hawakuregister ndo imeekula kwao