Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,285
- 2,594
AnoldiApple Toka kuanzishwa kwake mpaka Leo imefanya mapinduzi mengi ya Teknolojia lakini Leo nitakuambia kuhusu usalama wa vifaa vya apple kwa mwaka 2024.
Apple ni Kampuni yenye nguvu sana ulimwenguni kutokana na jinsi ambavyo wanatengeneza bidhaa zao kuwa Unique sana kwenye huu ulimwengu.
View attachment 2660668
Unajua apple wameanza kutumia mifumo ya security miaka kumi iliyopita lakini mpaka kufika mwaka 2024 wana tambulisha Teknolojia mpya ya usalama
Usisahau kutembelea chanel Yetu ya telegram kujifunza mengi zaidi [emoji116]
BongoTech255🎮🔻
Fahamu masuala mbalimbali ya Teknolojia kwa lugha nyepesi kabisa ya kiswahili 😎 Tembelea page zetu ujifunze mengi zaidi 👇 https://bio.site/Bongotech255 Si Unajua Teknolojia ni Yetu sote ✍️t.me
1) Fingerprint Scan
Apple ndo walikua watu wa mwanzo kutumia huu mfumo wa fingerprint kwenye simu zao Tena ilikua iphone 5 ilikua mwaka 2013 walipoweza kuweza ulinzi wa kufungua simu kwa kutumia kidole una scan nakutumia walikaa nayo mpaka kufika mwaka 20217.
View attachment 2660669
2) Face Id
Ndipo ilipofika mwaka 2017 September apple wakamua kuja na Facial recognition security uwezo wa kutumia Uso kuweza kufungua simu na kutumia iphone wakaanza kuweka kwenye simu ya kwanza ilikua iphone X ndo ilipata hii Teknolojia.
Apple ni Kampuni ya kwanza kutumia face id Kwenye kutoa lock , kupakua program nk ndipo baadae ikasamba kwa simu nyingine.
View attachment 2660670
Hatimaye apple kwa mara nyingine Tena wanashika dira ya dunia kwenye upande wa Teknolojia kuja na mfumo mpya wa Biometric mwaka 2024.
View attachment 2660671
3) Optic Id
Mwaka 2024 apple watachia feature mpya ya optic id ya kuweza kutumia jicho kuweza kutoa lock simu yako pamoja na kufanya mambo kupitia njia ya ku scan tu jicho lako basi utakua na uwezo wa kufungua simu na kutumia.
View attachment 2660672
Endelea kufuatilia page Yetu makala ya optic ID inakuja kwa undani zaidi [emoji2772] si unajua Teknolojia ni Yetu sote [emoji3577].
Apple huwa mara nyingi haleti kitu kipya ila anachukua kitu kilichokuwepo sokon anakiboresha na kukifanya more useful.jamaa Mshamba 😆😆😆. apple hasn't invented anything for years since iPhone os. hadi vision Pro. watu wanazo since 2013 zipo on market. I think its a luxury tech brand nothing else
Apple huwa mara nyingi haleti kitu kipya ila anachukua kitu kilichokuwepo sokon anakiboresha na kukifanya more useful.
Nmeona review ya mkbh kuhusu hiyo vision pro, aisee iko vzuri inavyofanya kazi ma gestures za mikono na anakwambia response yake ni realtime na hizo gestures zina dedicated procesaor yake maana ima processor mbili.
Pia imterface yake ya OS mpya aliyounda specically kwa ajjli ya vision pro jamaa anakwambia ni kwa haya VR hii ni moja ya interface bora kabisa.
Uzuri apple huwa kila kifaa ki akuwa na.customized os yake ndio maana hata kwenye tablets ipads ziko kwemye.league yake yenyewe wakati za android ni sawa tu na misimu yenye screen kubwa ambayo apps zinakuwa stretched kwa screen.
VR ni luxury experience 😂😂, Yah nikama kununua PS5 , wakati miaka 2 nyuma ulinunua ps 4, so technology inatupeleka puta,Sure lakini ktk upande wa soko inaangukia kule kwenye level za Earpod max,macbook pro nk,itashindwa kuleta mapinduzi kama ugunduzi mpya ama uboreshaji mpya sababu imewekwa kama kifaa cha matumizi yasiyo ya lazima(luxury).
Bei haiendani na umuhimu wa kifaa.
Hio ni Zamani, ila sasa Android ipo vizuri sana Tablet hasa One Ui ya Samsung, achana na Tablet natumia s20 kwenye TV sometime unasahu kabisa kama unatumia simu, kila kitu kipo on point na apps zote ninazotumia sijawahi pata tatizo la UI, mpaka za vichochoroni. kuna Video kibao zipo youtube unaweza cheki Tablet mode ya One Ui ikiwa compared na ipad os mambo. Mambo ya multitask etc. Kama hiiApple huwa mara nyingi haleti kitu kipya ila anachukua kitu kilichokuwepo sokon anakiboresha na kukifanya more useful.
Nmeona review ya mkbh kuhusu hiyo vision pro, aisee iko vzuri inavyofanya kazi ma gestures za mikono na anakwambia response yake ni realtime na hizo gestures zina dedicated procesaor yake maana ima processor mbili.
Pia imterface yake ya OS mpya aliyounda specically kwa ajjli ya vision pro jamaa anakwambia ni kwa haya VR hii ni moja ya interface bora kabisa.
Uzuri apple huwa kila kifaa ki akuwa na.customized os yake ndio maana hata kwenye tablets ipads ziko kwemye.league yake yenyewe wakati za android ni sawa tu na misimu yenye screen kubwa ambayo apps zinakuwa stretched kwa screen.
Mkuu hivi unajua apple ndio kampuni pekee ambayo soko lake la computer linakuwa kwa sasa wakati soko la makampuni mengine lina shrink maana computer haziuzi kwa sasa kama zamani?Sure lakini ktk upande wa soko inaangukia kule kwenye level za Earpod max,macbook pro nk,itashindwa kuleta mapinduzi kama ugunduzi mpya ama uboreshaji mpya sababu imewekwa kama kifaa cha matumizi yasiyo ya lazima(luxury).
Bei haiendani na umuhimu wa kifaa.
Mkuu hii naikubali ya One Ui ya samsung hasa ambavyo unaweza ifanya hata uoate feeling ya UI ya PC.Hio ni Zamani, ila sasa Android ipo vizuri sana Tablet hasa One Ui ya Samsung, achana na Tablet natumia s20 kwenye TV sometime unasahu kabisa kama unatumia simu, kila kitu kipo on point na apps zote ninazotumia sijawahi pata tatizo la UI, mpaka za vichochoroni. kuna Video kibao zipo youtube unaweza cheki Tablet mode ya One Ui ikiwa compared na ipad os mambo. Mambo ya multitask etc. Kama hii
Zote siku hizi zina hio mode mkuu, sema nyengine sio polished tu, after some time huwa Google ana copy toka kwa Oems na ku Add kwenye Android, Kuanzia android 12 zote zina Desktop mode.Mkuu hii naikubali ya One Ui ya samsung hasa ambavyo unaweza ifanya hata uoate feeling ya UI ya PC.
Ila most android tabs ni kama simu with a bigger screen. Halafu mkuu unaongeleaje jambo la uwezo ikija suala kwamba newest tabs za apple zinatumia chip zake za M series sawa na anazotumia kwa pc sasa.
android pia ana kila device os yake. bro so I don't think you know alot. also the vision Pro face weight will be a concern. gestures was a new thing. but in productivity holo lens was ahead of its time to me.Apple huwa mara nyingi haleti kitu kipya ila anachukua kitu kilichokuwepo sokon anakiboresha na kukifanya more useful.
Nmeona review ya mkbh kuhusu hiyo vision pro, aisee iko vzuri inavyofanya kazi ma gestures za mikono na anakwambia response yake ni realtime na hizo gestures zina dedicated procesaor yake maana ima processor mbili.
Pia imterface yake ya OS mpya aliyounda specically kwa ajjli ya vision pro jamaa anakwambia ni kwa haya VR hii ni moja ya interface bora kabisa.
Uzuri apple huwa kila kifaa ki akuwa na.customized os yake ndio maana hata kwenye tablets ipads ziko kwemye.league yake yenyewe wakati za android ni sawa tu na misimu yenye screen kubwa ambayo apps zinakuwa stretched kwa screen.
So kuna android ya simu na tablet? Wakati hata radio zinakuja na android hii hii ya simu na tv zina android hii ya simu au kwa sababu unaona kuna apps hazipo ndio unadhani ni android ya tofauti?android pia ana kila device os yake. bro so I don't think you know alot. also the vision Pro face weight will be a concern. gestures was a new thing. but in productivity holo lens was ahead of its time to me.
android kuna freedom of use. thgh they do have the os. android watch, car play , android TV, and so on. but android goes in anything. compactible. it's open source that's the beauty. if apple allows that it will be every whereSo kuna android ya simu na tablet? Wakati hata radio zinakuja na android hii hii ya simu na tv zina android hii ya simu au kwa sababu unaona kuna apps hazipo ndio unadhani ni android ya tofauti?
Narudia kusema apple huwa anachukua vitu vilivyokuwepo na kuvifanya viwe usable yani vinakuwa na better user experience.
Haina maana kuwa na tech kubwa wakati matumizi yake hayaeleweki. Kuna kipindi simu za samsung zilikuwa zinakuja na features nyingi ambazo mtumiaji atazitumia siku ya kwanza tu akinunua simi na baadaye anaachana nazo zilikuwa gimmicks.
Holo lens ilikuwa ahead of its time na ilishindikana.
Implentation katika technology ni kitu muhimu. Mfano unaweza kuwa na app moja nzuri ina mambo mazuri lakini interface yake mbovu na watu wasiitumie
Najua lakini ni kwanini wanaotengeneza wana opt kutumia hii android ya simu kwenye tv na vifaa vingi?android kuna freedom of use. thgh they do have the os. android watch, car play , android TV, and so on. but android goes in anything. compactible. it's open source that's the beauty. if apple allows that it will be every where
Vijana tutafute fedha!Hii optic id ni mahususi kwa hiyo miwani yao ya bei ya IST