APPLE vs SAMSUNG wapata MpinzanI

APPLE vs SAMSUNG wapata MpinzanI

CompaQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
281
Reaction score
134
Linapokuja suala la soko la
smartphone nchini Marekani,
mara nyingi huwa ni mbio za
farasi wawili tu, Apple na
Samsung huku makampuni
kama HTC na Motorola
wakipigania soko kiduchu
lililosalia.
Padfone
Lakini hiyo inaweza kubadilika
mwaka ujao pale kampuni ya
Asus itakapoingiza sokoni
PadFone yake nchini Marekani.
Vifaa hivyo vinavyotumia
mfumo wa Android, vinadaiwa
kuwa vya mapinduzi na vyenye
nguvu ya kuwa mshindani
kwenye soko la simu. PadFone
inajumuisha tablet na
smartphone pamoja.
Jina la phablet limeibuka siku
hizi kuziita simu kama Galaxy
Note III – kwamba ni ndogo mno
kuwa tablet lakini pia ni kubwa
mno kuwa smartphone. Lakini
PadFone inaweza kuwa phablet
ya ukweli.
Wanunuzi wanapata tablet na
smartphone kwa wakati mmoja.
PadFone ina ukubwa wa inchi 5
na processor kubwa na camera
ya 13-megapixel. Kwa maneno
mengine haiwezi kufananishwa
na simu yoyote ya Android.
Badala ya kununua Galaxy S4 NA
Galaxy Note 10.1 au iPhone 5s na
iPad, wanunuaji wanaweza
kununua , PadFone yenye vyote
hivyo. Bei za PadFone nchini
Marekani hazijatangazwa bado.
 
zina mwaka na nusu sasa hazijafanya lolote, ili uuze sana mpaka uwe na brainwash factor
PWOh4Rf.png
 
Kit Vivo Xplay 3S ndio habari ya mini
gsmarena_003.jpg

Specifications
1.RAM 3GB
2.internal memory 32
3.camera 13 pixels back and 5 frontThe Vivo Xplay 3S is powered by a Snapdragon 800 chipset - quad-core Krait 400 CPU at 2.3GHz, Adreno 330 GPU and 3GB of RAM. On the connectivity side there's both TD-LTE and FDD-LTE.

The camera is a 13MP shooter with a fast f/1.8 aperture. Next to it is a fingerprint scanner and there's a 5MP camera on the front. Vivo has created a custom camera app called Photo+, which shares your videos to the cloud and features augmented reality.
 
Kwa pixel density ndogo namna hiyo (<300 ppi)...hazina ishu. Jicho la binadamu linaweza ona/tofautisha mwisho pixel 300 per inch, hizo zna ppi ndogo, which means screen resolution ni ndogo pia kulinganisha na counterparts wake...mfano htc one na Galaxy s4
 
duuu huo msimu kama laptop..
 
wanayo padfone infinity ina 441 ppi (1080 kwa 5inch)

hio ni mini kwa watu wa kipato cha chini
 
duuu huo msimu kama laptop..

Haya masimu makubwa nayachukia sana, yaani mpaka uwe na mfuko rambo kwa ajili ya kubebea, mda si mrefu tutakuwa tunawaagiza mafundi nguo ku-design mifuko mikubwa kwa ajiliyakubebea hii midubwana
 
Kit Vivo Xplay 3S ndio habari ya mini
gsmarena_003.jpg

Specifications
1.RAM 3GB
2.internal memory 32
3.camera 13 pixels back and 5 frontThe Vivo Xplay 3S is powered by a Snapdragon 800 chipset - quad-core Krait 400 CPU at 2.3GHz, Adreno 330 GPU and 3GB of RAM. On the connectivity side there's both TD-LTE and FDD-LTE.

The camera is a 13MP shooter with a fast f/1.8 aperture. Next to it is a fingerprint scanner and there's a 5MP camera on the front. Vivo has created a custom camera app called Photo+, which shares your videos to the cloud and features augmented reality.

Duuh.. ili dude ni monster. Hiyo screen ni 5" au 6" kama Lumia 1520? Nimechoka kwenye RAM na Processor, Pia front camera ya mbele kua 5MP ni janga la kimataifa ilo.

Sijajua battery tu hapo aisee.
 
Haya masimu makubwa nayachukia sana, yaani mpaka uwe na mfuko rambo kwa ajili ya kubebea, mda si mrefu tutakuwa tunawaagiza mafundi nguo ku-design mifuko mikubwa kwa ajiliyakubebea hii midubwana

Haha zina raha yake kaka. Wale wa gaming wana enjoy sana. Ila kama sio mdau wa cm kubwa above 4", zipo mbadala za less than 4" hafu kali sana tu.

Mfuko wa rambo duh????
 
99% ya post zangu zote zinatokea operamini sioni likes ninazopewa wala sioni pa kutoa likes.

So chief wewe 24/7 wapiga post zako via mobile phone?? it seems una moja wapo ya android device kwa mujibu wa hisia zangu. why not using using jf app for android??
ila above all chief huwa nakukubali sana na pia ushauri wako umekuwa ukinifaa every now and then
 
mfano unaandika kitu unahitaji picha utoe kwenye website mbalimbali na pia sometime inabidi kugoogle ili kuandika kitu chenye kueleweka.

multitasking ya android si muda wote inaeleweka sometime unaadika kitu ukirudi inareload page hivyo unapoteza vitu vya mwanzo.

wakati mwengine app inacrash. imagine umetumia nusu saa kuandika kitu halafu app inacrash unaanza upya kabisa inaboa.

operamini pia ina speed kubwa na haihitaji kuload page ukibonyeza back hivyo unabrowse site nyingi kwa muda chache na kuweza kusave time ya kufanya mambo mengine
 
Back
Top Bottom