Apple Vision Pro Tv inayotembea

Apple Vision Pro Tv inayotembea

Meta wangedeal na software ya metaverse wakaachana na kutengeneza hizo hardware za oculus. Wangejiunga na apple kama ulivyosema.

Lakini my point ilikuwa unajuaje wamezika soko?
Kwasababu to my knowledge hizo vision pro ni prototype tu bado hazijawa produced in bulk.
Ni kama apple wametoa hiyo sneak peek kuona soko litareact vipi na kama reviews ni nzuri basi wavutie watu kama disney na develoopers wengine kutengeneza apps na softwares za kuingia kwenye vision Pro

Which means bado wako testing phase sio uhakika kuwa watatake off ukizingatia na pricing yao ya $3500.

Nilikuwa sijui hili, Vision Pro inaingiaje kwenye sports?

Vision pro siyo prototype mkuu , ni product ipo. Prototype ni modeli inakuwa bado kwenye computer au majaribio au inakuwa mfano , hii vision pro siyo prototype tena ni product halisi na watu wameitumia na ndo unaona hizo reviews, bado tu watu kuanza kuweka order na delivery. Kwa utaratibu wa apple kwenye complex gadget Kama hii delivery yake huwa wanaipa muda maana itategemea na order zitakazowekwa na itategemea production yake ni ngumu kiasi gani. Unakumbuka iPhone 10 Kwa mara ya kwanza inakuja na faceid ilichelewa tofauti na iPhone 8 ambayo zilitangazwa muda mmoja na haikuishia hapo upatikanaji wa X ulikuwa mgumu sababu ya production kuwa ngumu. Where is faceid now ? Jibu ni kwamba Imekuwa ndo standard ya smartphones na Hamna simu imekuwa close na faceid.

Na pia kipindi hiki wanapewa developers waweze kuongeza maajabu Yao ili mteja apate vitu kibao ndani (From now to Jan next year developers wana muda wa kutosha kutupia ubunifu wao humo)

Nimejuaje Kama wanaizika meta na AR wengine? Simple tu , vision pro ni substitute ya hizo za meta na kina Samsung lakini ubora wake umekuwa juu mno kiasi kwamba hizo za wengine zinaonekana Kama wanatania (walikuwa kwenye majaribio) na ndo maana umeona hata reviewer ambao ni critic wa apple wamekubali wengine wamesema hawajawahi na hawakutegemea kuona implementation ya kiwango hiki yan ni Kama ipo perfect .Disney ni wakubwa mno ukiona wamekubali kuingia kwenye project jua kuna kitu wamekiona. Hii ina forecast kifo cha wengine Jan si mbali sana Mungu atuweke tutarudi hapa.

It’s expensive yes but hii cost iki meet expectations basi itaonekana ndogo, and it’s not for everyone Mil kumi ni kubwa Kwa watu wengi but if it lives up the expectation basi watu watanunua. Shida ni kuuza kitu bei kubwa alafu hakifanyi kazi inavyotakiwa

Apple wana plan kuingia kwenye sports yan unaangalia mechi Kama upo uwanjani vile kupitia vision pro. Kumbuka tayari wana streaming service ya movies kupitia Apple TV +. Kwa maana nzima ya ecosystem hapa mauzo ni guaranteed

Disney ndo atasimamia show nzima hiii , Kama hukuona presentation basi link hizi hapa chini


IMG_2164.jpg
 
Back
Top Bottom