Bila net hiyo mikogo yote kazi bure.
Lakini nadhani inahitaji internet strong na ya uhakika kila wakati,,,kwa nchi yetu cidhani kama tutaifaidi kwa sasa
Huwezi kusahau Laptop waala kifaa chochote cha computer!,
Creative!
Sasa wewe ndio unaongea vitu gani? Hivi tupo ukarasa mmoja kweli?Apple ni kiboko ya wote akina Bill Get na Ubuntu hazifuwi Dafu kwa System ya Apple Mac OSX ni nzuri sana hata mimi natumia nimechoka kutumia Windows XP,Windows 7 kwangu mimi zimepitwa na wakati kiboko ya wote ni hiyo Macintosh OSX
ha ahaa haha naona sasa PCs & laptop soon will be things of the past,like smartphone or ipad wengine walifuata sasa tutaona makampuni yatakavyo hamishia kila kitu in cloud,is not new thing/tech lakini Job ataifanya mainstreamingawaje microsoft,google wamejaribu bila mafanikio,hii itakula storage business ...mbaya zaidi sioni blackberry waki survive hii,Steve Job is da man!!!
Unataka nikufuate wewe unavyosema nini? ili tuwe pamoja?Sasa wewe ndio unaongea vitu gani? Hivi tupo ukarasa mmoja kweli?
Bulicheka.Unataka nikufuate wewe unavyosema nini? ili tuwe pamoja?
ChakubangaBulicheka.