elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,764
Kwanini chief? Unahisi nini kitatokeahii race naifuatilia kwa makini sana
Rest In Peace Steve Jobs sasa naona umuhimu wako maana hawa apple inc wanakurupuka tu nowdays tangu kifo chako.
hio race ya Alphabet, Apple, Microsoft na Amazon ya 1 trilion dollar company (kampuni ya technolog). tayari kumeshakuwa na trilion Dollar company (CITIGROUP) tokea mwaka 2003.Kwanini chief? Unahisi nini kitatokea
Hivi windows 10 inafanya poa kimauzo?hio race ya Alphabet, Apple, Microsoft na Amazon ya 1 trilion dollar company (kampuni ya technolog). tayari kumeshakuwa na trilion Dollar company (CITIGROUP) tokea mwaka 2003.
Apple ana lead sasa hivi ila maajabu bado yanaweza Tokea, kila analyst ana views zake.
Microsoft sasa Hivi wapo vizuri sana kwenye cloud, Azure inapanuka kupita maelezo, division ya cloud inai double kimapato division ya windows. Mambo ya Artificial intelligence na Machine learning ipo vizuri sana Hata Apple anamtumia MSFT.Hivi windows 10 inafanya poa kimauzo?
Kwanini kaipa licence za bure?Microsoft sasa Hivi wapo vizuri sana kwenye cloud, Azure inapanuka kupita maelezo, division ya cloud inai double kimapato division ya windows. Mambo ya Artificial intelligence na Machine learning ipo vizuri sana Hata Apple anamtumia MSFT.
Windows 10 inafanya vizuri sana, sema nyingi ni licence za bure, ukiwa tu na key ya 7 au 8 inakubali windows 10.
Microsoft sasa Hivi wapo vizuri sana kwenye cloud, Azure inapanuka kupita maelezo, division ya cloud inai double kimapato division ya windows. Mambo ya Artificial intelligence na Machine learning ipo vizuri sana Hata Apple anamtumia MSFT.
Windows 10 inafanya vizuri sana, sema nyingi ni licence za bure, ukiwa tu na key ya 7 au 8 inakubali windows 10.
Anazungumzia simu sio computer,ni simu ipi ya windows yenye face id huo mwaka 2015.ipo toka 2015 mkuu inaitwa windows Hello, ipo kwenye vifaa vinavyotumia windows 10.
Windows Hello facial logins on the new Surfaces are rather impressive
Wewe huwezi kuwaza kama apple wanavyowaza they know everything about their business,lazima waendane na kasi ya wapinzani wao.Mim siamin kama apple wataweza kuongeza mauzo kwa matoleo yao mapya.
Ile smartness yao imepungua. Maana wateja walikuwa wananunua cm akiwa na uwakika wakitumia miaka 2 had mitatu na kubadili cm akiwa bado yupo kwenye status ya cm nzuri na kupata update zote.
Mfano iphone 6 mtumiaji wa iphone 6 alikuwa hana sababu ya kununua iphone 6s hata iphone 7 maana zote zilikuwa na sartifaction zinazo fanana japo sio sawa.
Kutoa iphone 8 na x na sio iphone 7s kama walaji tulivyo zoea, kwa mtu alie nunua iphone 7 mwaka jana leo anakuta iphone x na gharama hazijaachana sana sizan kama atapenda kuonekana yupo kwenye toleo la tatu toka juu na akiwa ndan ya muda mchache sana.
Watumiaji wanao jinunulia cm wenyewe nafikir watakuwa wanasoma soko la iphone linakwendaje na kupunguza kununua toleo jipya la mwaka huu na wasubir toleo la mwakan ili waweze pata picha ya soko la iphone linakwendaje.
Ndio maana had sasa mauzo ya iphone 8 na 8+ yamekuwa madogo sana sio kama walivyo tegemea
sababu wanataka watu wengi kadri iwezekanavyo watumie windows 10, hii ni latest os ya computer, watakuwa wanai update hii hii hivyo strategy zao zipo hapa.Kwanini kaipa licence za bure?
Natamani waje na invention ya kitu ambacho hakipo kwenye market yani new device with new name
1. unatakiwa ufahamu windows hello ipo integrated na windows 10, oem aki implement au asipo implement technology ipo ndani. unaweza ukaenda aggrey ukanunua ki face id uchwara na ukafungulia na uso au ukajipinda ukanunua ya bei ghali vile vile ambayo itakuwa more secure.Anazungumzia simu sio computer,ni simu ipi ya windows yenye face id huo mwaka 2015.
sio pirating mkuu ni wenyewe microsoft wametoa hio offer ya windows bure.Wakiwekeza sana kwenye store, application na software zote zikitoka store licence za bure zitaondoka , lakini itahitaji mda maana kutoka platfoam ya windows 7 ni ngumu kama unaijua windows RT ilivofeli ikabidi surface zao zi run tradition windows. Naamini wakiwekeza kwenye store watakuwa wameweza ku solve hii issue ya pirating..
Mkuu mbona hii ipo nahis miaka miwili mpaka sasaIla all in all jamaa wapo vizuri sana. Other competitors itawachukua muda mrefu kuja kukopi hii tech.
Kazungumzia teknolojia.. hajasema simu wala kompyutaAnazungumzia simu sio computer,ni simu ipi ya windows yenye face id huo mwaka 2015.
Wabongo bana.....Simu pia ni kompyuta kama ilivyo kwa calculator !!!!Anazungumzia simu sio computer,ni simu ipi ya windows yenye face id huo mwaka 2015.
Hata ikitokea akafungua ipo siku itamuumbua hasa katika yale mambo ya passcode n.k maana kuna wakati kwenye kupekuapekua atahitajika kuweka passcodeHiyo ni rare cases kutokea na wawe identical kweli wamefanana otherwise haikubari na siyo tatizo sana twin wangu akifungua simu yangu as long as mtu mwingine hawezi.
By the way hata wao walitoa probability ya watu waliofanana kufungua 1 in a milion
Wakitoa hii kitu watakuwa wamemaliza kazi aisee.sababu wanataka watu wengi kadri iwezekanavyo watumie windows 10, hii ni latest os ya computer, watakuwa wanai update hii hii hivyo strategy zao zipo hapa.
na kuna tetesi za surface phone/tablet ambayo inajikunja. ukiikunja inakuwa ni simu na ukiikunjua ni tablet, pia itakuwa na holographic display ambayo inadisplay vitu kwenye kwenye hewa tu na unaweza ku interact navyo, tetesi zake ni too good to be true na kila siku nasikia wanaghairi itoke lini.
itaendelea kuwa win 10 tu, hizo updates ndio zinakuwa na majina.Wakitoa hii kitu watakuwa wamemaliza kazi aisee.
So chief una maana itaendelea itwa windows 10 miaka rudi miaka nenda au watakuwa kama mac ukii wakitoa updates inakuwa na jina jipya