Apple iPhone X goes on sale today.

mkuu cable ya MHL ndio hio hio unatumia kuchajia simu kama ukitaka, ni tofauti na kutembea na adapter kubwa au kutembea na Apple TV.

hii cable yangu

na hapo nimechagua waya mrefu, ukitaka unanunua ya waya mfupi inazidi kuwa nzuri.

na pia huwezi fananisha bei yake na Adapter ya laki moja au laki 2.
 
Iwe fupi , cheap , expensive siyo issue , issue ni kwamba hiyo ni extra accesory na hapo hujaongeza waya wa HDMI ambao ni mkubwa.

Hivi vitu ni kawaida sana dunia ya sasa na tech iliyopo siyo issue sana , Angalia hapa hii cable ya kawaida kabisa iphone to tv na jamaa anafanya kila kitu

Na pia wireless dongle zipo kibao siyo lazima apple tv , vi dongle vidogo tu size ya flash disk.
 
1. si kweli kwamba unahitaji waya wa HDMI, mpaka picha nimekutumia na HDMI ipo connected pale pale,

2. ndio utanunua Wireless dongle ila iphone utabaki na useless Airplay yako wakati mtu wa android au platform nyengine kama windows anatumia more advanced technology kama miracast au WiDI, wewe unaona ni sawa?
 
Shukrani Mkuu nadhani jibu langu ndio hili hapa..... asante kwa ufafanuzi...

Hivi hizi active kwenye maduka yetu zinapatikana kweli...?
 
Swali lako sawa na kusema ukinunua simu inabidi ununue tena vocha ili uwasiliane.!
 
Shukrani Mkuu nadhani jibu langu ndio hili hapa..... asante kwa ufafanuzi...

Hivi hizi active kwenye maduka yetu zinapatikana kweli...?
latest hazipatikani hadi uagizie, zile za zamani za s4 active na s5 active (mwaka 2013 na 2014) zinapatikana.
 
latest hazipatikani hadi uagizie, zile za zamani za s4 active na s5 active (mwaka 2013 na 2014) zinapatikana.
Shukran mkuu, natumia S7 ya kawaida bila shaka itabidi nisubiri s7 au 8 active...

Napenda sana simu zinazohimili majanga na Pafomansi nzuri.

Kuna sehemu nimesoma unaelezea kuwa unaweza kuunganisha simu kwenye tv sio lazima tv iwe smart.......nahitaji vifaa gani kutimiza hiyo azma.
 
njia rahisi nunua wireless dongle, simu yako ina technology mbali mbali za wireless kama vile miracast, wireless display, etc ila tv yako ndio haina, hivyo inabidi uinunulie tv kifaa hicho ili tv nayo iwe na hizo technology.

Humu JF kuna jamaa anaviuza 60,000. online unavipata around $10,

window9

wasiliana nae huyo jamaa ndio muuzaji wa humu.
 
Shukran mkuu ngoja nilifanyie kazi.!
 
Tunaaminije kuwa huyo mtoto hana lock yake kwenye hiyo iPhone!? Kwa nini inaonesha akifungua tu!? Kwa nini na mimi nisiamini kuwa karegister lock yake!?
 
Tunaaminije kuwa huyo mtoto hana lock yake kwenye hiyo iPhone!? Kwa nini inaonesha akifungua tu!? Kwa nini na mimi nisiamini kuwa karegister lock yake!?
Cha msingi ni wewe kufanya hilo jaribio.ikishindikana ndio ubishe.wenzako wamejaribu imewezekana
kanusha kwa vitendo.
 
Tunaaminije kuwa huyo mtoto hana lock yake kwenye hiyo iPhone!? Kwa nini inaonesha akifungua tu!? Kwa nini na mimi nisiamini kuwa karegister lock yake!?
je iphone x inaruhusu lock mbili? swali la muhimu ni hilo. kama inaruhusu una point, kama hairuhusu lock mbili huna point.
 
je iphone x inaruhusu lock mbili? swali la muhimu ni hilo. kama inaruhusu una point, kama hairuhusu lock mbili huna point.
Cha msingi sio lock mbili, kama hiyo video imeeditiwa kuifanya ionekane hivyo, siku hizi technology imekua hakuna kisichowezekana ukija kwenye upande wa video editing unaweza kufanya kitu chochote kionekane vyovyote vile
 
then hakuna haja ya kuendelea na mjadala sababu ulipofikia hakuna point itakayojengwa, na yale makumi kama sio mamia ya video yanayoonyesha watu mbali mbali youtube waki unlock face id hali ya kuwa si wamiliki zitakuwa zimetengenezwa.

hapa ninachowaza ni budget tu sijui wametumia kiasi gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…