Apple iPhone X goes on sale today.

mkuu nakubaliana na wewe kuhusu future proof, good point. ila kwa experience yangu si cpu tu bali storage, ram, gpu etc pia vinatakiwa viwe on par na cpu ili visikulimit hapo baadae, mfano iphone 4 ilikuwa nzito sana kwenye ios 7, pengine sio cpu ilio bottleneck bali ni storage au ram. unafkiri huo mwaka unaosema 2GB itatosha?

kuhusu keyboard na mouse mkuu kuna situation nyingi sana zinaweza tokea, mfano.
-natengeneza tutorial ya kitu fulani online, either kipindi cha tv au youtube, inapendeza zaidi ukitumia hivyo, mtazamaji hataviona hivyo vifaa ila atapata tutorial nzuri kwa kuona maandishi yakitokeza bila keyboard ku pop up, au mshale ukielekeza bila kidole kuingilia. kama umewahi ku consider au kushoot simu utaelewa hapa challenge za kivuli, kwili kuziba kifaa etc.
-sometime unaweza tumia kitu kama samsung dex, siku hizi inasupport full linux, natumia simu yangu kama computer nitahitaji mouse na keyboard.
-pia unaweza tumia kwenye tv pale unapotumia simu yako.

na mkuu usi assume maisha ni kazini na nyumbani, upo home na tv na Apple tv ukitoka hapo ni job, kuna watu wanahangaika wanaishi guest kushinda nyumbani, wanapanda ndege wanakaa zaidi kushinda nyumbani etc.

assume upo safari ya kikazi upo guest na kuna tv umeekewa, nikiwa na miracast yangu au MHL yangu nachomeka tu kwenye tv, voila nafanya mambo yangu. na keyboard na mouse usi assume lile li kubwa na mouse kama kiganja cha mkono, zipo ambazo ni portbale sana.
 
hio inaitwa option mkuu, kama tv haina miracast nitatumia MHL, ila wewe huna option zaidi ya adapter, sijui unaelewa hapo.

na sio lazima utumia gamepad ya 10,000 nimekupa mifano zaidi ps3 na xbox 360 controller wired ni bei nafuu tu siku hizi hadi 30,000 unazipata na ni bora kuliko gamepad za 100,000 za simu ambazo zinauzwa bei ghali bila sababu yoyote.

Hio Airplay umewahi tumia? hebu nielekeze unachezaje game na airplay? Hapa nyumbani kuna fan mkubwa sana wa Apple ila akitaka kuangalia kitu kwenye tv anachukua samsung yangu, Airplay ipo limited kwenye media tu, tena unazoplay toka kwenye simu, huwezi stream app. unless utumie Apple tv hivyo tunarudi kule kule kwenye adapter.
 
kuhusu s8 ya kawaida kuwa ghali kuliko active si kweli mkuu active ni bei sawa au ghali zaidi kuliko wa kawaida wake, kuna active nyingi kama
-s8 active
-s7 active
-s6 active
-s5 active etc

hivyo usilinganishe s6 active na s8, bali linganisha s8 active na s8. sasa hivi s8 active ambayo ni exclusive kwa At&T ni dola 850 za kimarekani.
 
Makampuni mengine ni kama yanasubiria kukopi kutoka kwa apple apple
[emoji23][emoji23][emoji23]
Blackberry alitengeneza batanless device mwaka 2013 (bb z10).iphon x inafanana sana.sizan kama kuna kipya alichokiweka
 
Nipe matumizi matatu ya windows hello unayoisifia. Tuanzie hapa ili tuone ubora wa windows hello maana isije kuwa inafanya kazi ambayo ingefanywa na passcode .
1. windows hello haichagui biometric, iwe ni finger print, iris scanner, face scanner yenyewe inakubali, huku hulazimishwi sijui leo wanatoa fingerprint wanakulazimisha utumie uso.

2.sio lazima utumie sensor inayokuja na kifaa chako unaweza upgrade na kutumia external sensor, mfano mzuri wa sensor ya nje ambayo inakubalika ni intel realsense

3.unaweza tengeneza multiple accounts na multiple login na kila mmoja aka acess vitu vyake, mfano ni pc ya kazini, kuna boss na wafanyakazi wanaitumia, unaweza ukaset boss aki punch finger print ana acess pc nzima, ila mfanyakazi wa kawaida aki punch anaona tu baadhi ya vitu na vyengine havioni.

zipo faida nyengine, nimeishia uliponiuliza.
 
perfomance wise hio xiaomi yako ina nguvu zaidi ya s6, sababu tayari ina core za cortex A72. ila display, camera utazidiwa.

hapo kwenye s6 active nimesema mimi binafsi, sijali kutembea na simu mbaya naangalia zaidi function, itategemea na wewe sasa upo tayari kutembea na simu isio na muonekano mzuri?
 

Daaah , haya ndo matumizi matatu ? Hapa naona umetaja moja tu (log in) , yan umeelezea log in tu kwa njia tatu. Umeleta njia tatu za ku log in kwa windows hello.

Mkuu nipe matumizi mengine mawili hiyo uliyoleta ni moja tu (log in)
 
ILA SI.KUNA BAADHI.YA.VITU KAMA WATERPROOF.NA DUSTPROOF XIAOMI HAINA KABISA
 

Sasa ndo unakumbuka kwamba si kila tv ina support miracast , ndo unakumbuka sasa hivi na kuja na habari za MHL , sasa nieleze hiyo MHL siyo “adopter” ? MHL ni wireless ??

Je hiyo miracast inaweza fanya kazi kwenye tv ambayo siyo smart ? Miracast inaweza kufanya kazi kwenye tv isiyo na wifi/wireless receiver ? Sasa jiulize bongo ni wangapi wana smart tv ? Wangapi tv zao zina wifi bila kuweka dongle ? Yan mtu aunge simu na tv tu bila asistant device in between ?

Mkuu nikwambie tu duniani hamna simu ya kuunganisha kwenda kwenye kila TV duniani kwa njia ya wireless, hiyo kitu hamna. Miracast, chromecast na airplay zina limitations zake na haziungi ungi tu kila Tv kirahisi rahisi lazima uhitaji adopter au dongle. Hizo limitations zimewekwa kwa faida na ukitaka zaidi ya hapo lazima uingie mfukoni, usitegemee mteremko kiasi hicho “No free lunch” ndo maana baada ya kukubana unaleta habari ya MHL. MHL ni adopter kama adopter nyingine. Acha tabia ya kudanganya watu wasiolewa.

Hapa nimeweka mfano wa MHL


Huyo jamaa yako kama anahangaika kuunga iphone kwenye tv zipo dongle kibao na afopters kama hiyo MHL ,kama yuko dar aende mtaa wa zanaki round about pale kuna maduka yanauza hizo dongle tena chini ya lakimoja


Mkuu naona nianze kukufundisha badala ya kubishana.
 
mkuu MHL natumia mimi na wadau kibao humu, inaweza kuwa adapter au cable, inakuwa adapter kama utanunua cable ambayo si ya simu yako, mfano cable ya 5pin na simu yako ni 11 pin utahitaji adapter, ila kikawaida inakuwa ni cable tu kama ule waya wa kuchajia. zinauzwa aggrey 15,000 tu. nikifika home nitakupigia picha yangu uone.

ndio MHL haihitaji smart tv inataka tu HDMI basi.

na miracast inahitaji tv yenye wifi.

vyote hivyo havipo kwenye IPhone, ila Airplay kwenye android ipo.
 
Daaah , haya ndo matumizi matatu ? Hapa naona umetaja moja tu (log in) , yan umeelezea log in tu kwa njia tatu. Umeleta njia tatu za ku log in kwa windows hello.

Mkuu nipe matumizi mengine mawili hiyo uliyoleta ni moja tu (log in)
sasa hapo umeongea kwa jumla, login ni kazi ya jumla ya windows hello, ila ina kazi nyengine pia kama kudetect sensor ya nje tofauti na inayokuja na kifaa, pia kutumia biometric zaidi ya moja.

au unafikiri kudetect sensor ya nje sio kazi?
 
ndio niambie naweza ipata around ngapi hio nikinunua ndo nitaakaanayo mda mrefu sana na kwa mtu rough kama mimi itafaa sana
 
asante naifanyia kazi kaka na mwalimu.crt anaweza husika hapa kuniagizia aisee
 
Mkuu nini hasa tofauti na sifa ya hizi S6,7,8 active na S za kawaida.?
hayo ni matoleo ya simu kali zaidi za samsung kwa mwaka husika. ya kwanza kabisa ni galaxy s iliotoka mwaka 2010 na latest kabisa ni galaxy s8 iliotoka mwaka huu 2017. kila toleo linakuwa ni zuri zaidi kuliko toleo la nyuma, na kila mwaka inatoka moja. hivyo ukiona s8 au s7 au s6 hio humaanisha toleo.

kila ikitoka s fulani kunakuwa na variety zake nitajaribu kuandika maarufu zaidi

-ukiona inaishiwa na active mfano s6 active, s7 active au s8 active ujue hio ni rugged phone, simu ambayo imetengenezwa kuvumilia majanga mengi, zinakuwa ni ngumu sana, haziingii maji, ukizidondosha si rahisi kuharibika etc, ila vyote hivyo unasacrifice muonekano, simu hizi zinakuwa na muonekano wa kiume kweli kweli.

-ukiona inaishiwa na nendo edge, mfano s7 edge, s6 edge etc ujue hio simu kioo chake kimepinda kwa pembeni, ila kuanzia s8 wanatoa ambazo zimepinda vioo tu, bila kuziita edge

-ukiona inashiwa na plus mfano s8 plus, s7 edge plus ujue hio ni kubwa zaidi ya version ya kawaida.

bora kati ya hizo inategemea na matumizi na mfuko wako upoje.
 

Kwa hiyo tuelewane kwamba kuunga simu kwenye Tv unahitaji kugusa tena mfukoni si ndiyo ?, na kama hizi dongle/adopter/cable hujatembea nazo hutaweza kuunga simu yako kwa tv labda tu ulipoenda ubahatike kukuta hivyo vitu.


Hapa tuelewane siyo kukaa kutetea tetea simu kumbe kinyume chake ndo ukweli
 
Mkuu mbona unatumia nguvu namna hii!!!tulia utajibiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…