...And other three new models of iPhones will be released today.
Mpaka sasa jamaa wameuza 46.6 million phones kwa kipindi cha kuanzia Jul mpaka September mwaka huu.
Jamaa wametengeneza profit kubwa sana quarter hii ya pili (Jul-Sept) 2017, $52.6 bn ( ~pounds 40.3 bn) ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 12.
CEO wa kampuni ya apple Tim Cook anakiri quarter hii hadi kuelekea msimu wa siku kuu za xmas and new year huenda ndio ikawa kipindi kampuni itatengeneza faida kubwa zaidi kuwahi tokea kampuni hiyo ilipoanzishwa.
Personally nimependa pale inapokuwa ina scan uso inavyofanya ni nzuri ila sasa ingekuwa na curved screen ingekuwa kali zaidMm sijaipenda kivile IPhone X nmependa iPhone 8 Plus
Hiyo ni rare cases kutokea na wawe identical kweli wamefanana otherwise haikubari na siyo tatizo sana twin wangu akifungua simu yangu as long as mtu mwingine hawezi.Mkuu face ID in case kwa identical twins inakuwaje!?[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ila all in all jamaa wapo vizuri sana. Other competitors itawachukua muda mrefu kuja kukopi hii tech.Hiyo ni rare casses kutokea na wawe identical kweli wamefanana otherwise haikubari na siyo tatizo sana twin wangu akifungua simu yangu as long as mtu mwingine hawezi.
By the way hata wao walitoa probability ya watu waliofanana kufungua 1 in a milion
We subiri tecno soon atatoa.Ila all in all jamaa wapo vizuri sana. Other competitors itawachukua muda mrefu kuja kukopi hii tech.
mkuu skuizi apple anacopy...like hell....Makampuni mengine ni kama yanasubiria kukopi kutoka kwa apple apple
[emoji23][emoji23][emoji23]
ipo toka 2015 mkuu inaitwa windows Hello, ipo kwenye vifaa vinavyotumia windows 10.Ila all in all jamaa wapo vizuri sana. Other competitors itawachukua muda mrefu kuja kukopi hii tech.
Iphone 8? kwanini not iphone 7 tu? Apple wameamua kuwachezea watuMm sijaipenda kivile IPhone X nmependa iPhone 8 Plus
Mim siamin kama apple wataweza kuongeza mauzo kwa matoleo yao mapya.
Ile smartness yao imepungua. Maana wateja walikuwa wananunua cm akiwa na uwakika wakitumia miaka 2 had mitatu na kubadili cm akiwa bado yupo kwenye status ya cm nzuri na kupata update zote.
Mfano iphone 6 mtumiaji wa iphone 6 alikuwa hana sababu ya kununua iphone 6s hata iphone 7 maana zote zilikuwa na sartifaction zinazo fanana japo sio sawa.
Kutoa iphone 8 na x na sio iphone 7s kama walaji tulivyo zoea, kwa mtu alie nunua iphone 7 mwaka jana leo anakuta iphone x na gharama hazijaachana sana sizan kama atapenda kuonekana yupo kwenye toleo la tatu toka juu na akiwa ndan ya muda mchache sana.
Watumiaji wanao jinunulia cm wenyewe nafikir watakuwa wanasoma soko la iphone linakwendaje na kupunguza kununua toleo jipya la mwaka huu na wasubir toleo la mwakan ili waweze pata picha ya soko la iphone linakwendaje.
Ndio maana had sasa mauzo ya iphone 8 na 8+ yamekuwa madogo sana sio kama walivyo tegemea

hii race naifuatilia kwa makini sana
Screen shot ya RT news