Apple hawana Wakala/Store Tanzania

Apple hawana Wakala/Store Tanzania

Si bora niende pale Mwenge karibu na ITV kwa mwanangu Bonny Chengula..yeye ana official I phone..non active..!
 
iPhone 17 kumbe imeshatoka naona maduka ya simu Makumbusho na Nenga Electronics wanayo tayari!!
 
Wapenda Iphone na bidhaa nyingine za Apple tujikumbushe tu kuwa Apple hawajawahi kuwa na wakala wala Store Tanzania toka kuumbwa kwa ulimwengu huu hivyo ukiona duka lolote Nchini wewe nunua at your own risk.

NB: Pale Mlimani City na Makumbusho mnaibiwa mchana peupe kwa bei za kubumba.

Fursa hiyo ngoja tukaombe uwakala
 
Back
Top Bottom