Malingumu
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 616
- 433
Habarini wataalamu...
Natumia Samsung J1 Ace, shida ninayoiona sasa ni kuwa nikifungua app fulani katika simu say WhatsApp/JF/Facebook yani kabla sijamaliza ninachokifanya inajifunga, so nalazimika kuanza tena...
Hapa penyewe natype haraka haraka ili isije ikajifunga...
Natatuaje hili tatizo la App kujifunga?